MKUDE SIMBA JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 305 Reaction score 168 Jun 19, 2014 #1 heshima kwenu wakuu, samahani kuna yeyote anayefahamu chochote juu kilimo cha aloe vera na masoko yake hapa Tanzania na hata kimataifa? Attachments Aloe-Vera-HQ-3-300x225.jpg 17 KB · Views: 244
heshima kwenu wakuu, samahani kuna yeyote anayefahamu chochote juu kilimo cha aloe vera na masoko yake hapa Tanzania na hata kimataifa?
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Jun 19, 2014 #2 MKUDE SIMBA said: heshima kwenu wakuu, samahani kuna yeyote anayefahamu chochote juu kilimo cha aloe vera na masoko yake hapa Tanzania na hata kimataifa? Click to expand... kwenye article uliyochomoa hiyo picha kuna maelezo mazuri ya kuanzia mkuu, inaonekana ni biashara nzuri.
MKUDE SIMBA said: heshima kwenu wakuu, samahani kuna yeyote anayefahamu chochote juu kilimo cha aloe vera na masoko yake hapa Tanzania na hata kimataifa? Click to expand... kwenye article uliyochomoa hiyo picha kuna maelezo mazuri ya kuanzia mkuu, inaonekana ni biashara nzuri.
MKUDE SIMBA JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 305 Reaction score 168 Jun 19, 2014 Thread starter #3 CYBERTEQ said: kwenye article uliyochomoa hiyo picha kuna maelezo mazuri ya kuanzia mkuu, inaonekana ni biashara nzuri. Click to expand... Sure mkuu lakini ni vyema kufahamu masoko kwanza kwa hapa nchini na kimataifa,hawajalieleza hilo
CYBERTEQ said: kwenye article uliyochomoa hiyo picha kuna maelezo mazuri ya kuanzia mkuu, inaonekana ni biashara nzuri. Click to expand... Sure mkuu lakini ni vyema kufahamu masoko kwanza kwa hapa nchini na kimataifa,hawajalieleza hilo
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Jun 19, 2014 #4 MKUDE SIMBA said: Sure mkuu lakini ni vyema kufahamu masoko kwanza kwa hapa nchini na kimataifa,hawajalieleza hilo Click to expand... kweli mkuu, pia unaweza kuwasiliana na watengezaji wa vipodozi, dawa za meno nk
MKUDE SIMBA said: Sure mkuu lakini ni vyema kufahamu masoko kwanza kwa hapa nchini na kimataifa,hawajalieleza hilo Click to expand... kweli mkuu, pia unaweza kuwasiliana na watengezaji wa vipodozi, dawa za meno nk
MKUDE SIMBA JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 305 Reaction score 168 Jun 19, 2014 Thread starter #5 CYBERTEQ said: kweli mkuu, pia unaweza kuwasiliana na watengezaji wa vipodozi, dawa za meno nk Click to expand... okay sawa mkuu
CYBERTEQ said: kweli mkuu, pia unaweza kuwasiliana na watengezaji wa vipodozi, dawa za meno nk Click to expand... okay sawa mkuu