Subiri hapo hapo nawaleta.Bado mkuu Nasubiri wajuvi waje wanipe dondoo
Mkuu nataka nijue kwanza kama soko lake lipo ?Namwombea kazi huyu rafiki yangu Kanungila Karim na Yna wawe ma TASTER (WAONJARI UBORA/WAKALA WA UBORA) wa hizo product za alovera (shubiri) unazotaka kufanya.
Mi nipe kazi ya UKEMIA MKUU (MKAANGA SUMU), itapendeza.
Tafadhali mkuu, kwa ihsani yako.[emoji18]
Kabisa mkuu au kilimo chake ni siri ambayo watu wanapiga hela kimya kimya?Mkuu ulizia taratibu maana tukilikosa soko tutauliza zile sabuni, dawa za meno na mafuta yenye mchoro malighafi wanatoa wapi [emoji3][emoji3]
Tumuumbue shetani
Kabisa mkuu au kilimo chake ni siri ambayo watu wanapiga hela kimya kimya?
Hakuna yeyote anaejua mkuuTakuja mtu hapa aseme inalimwa sana India.
Haya mambo ni usanii sana, ila mkuu ukiwa na shamba la Aloe vera eka 5 hivi hicho kijiji kutaishi wadudu kweli??, maana si ni dawa ya vijidudu hiyo [emoji23][emoji23]
Hujaelewa somo mkuu, anaposema uchafu maana yake havina soko.Sasa tengeneza soko wewe mwenyewe kwa kusindika na kuingia mtaani.Tanzania hakuna viwanda vya vipodozi labda nje ya nchi itapata.Wengine huwek ktk sabuni, hivyo tafuta wajasiriamali w wa kutengeneza sabuni .Bado mkuu Nasubiri wajuvi waje wanipe dondoo