Pukudu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 3,158 Reaction score 2,272 Mar 4, 2017 #1 Kwa wale wapenzi wa mashindano ya magari, kesho kuna mashindano ya magari Kilimanjaro karibuni tutakuwa tunapeana updates humu
Kwa wale wapenzi wa mashindano ya magari, kesho kuna mashindano ya magari Kilimanjaro karibuni tutakuwa tunapeana updates humu
ramzoukawa Member Joined Feb 20, 2017 Posts 41 Reaction score 13 Mar 4, 2017 #2 Good napena sana hio...
Muuza Sura JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,985 Reaction score 1,353 Mar 5, 2017 #3 Babu Gerald Miller wa kwanza. ..jamil khan kashindwa kumaliza. ..Davis mosha kashindwa kumaliza
Sanja JF-Expert Member Joined Nov 7, 2010 Posts 501 Reaction score 229 Mar 5, 2017 #4 Ngoja tuisubilie recorded azam2
Pukudu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 3,158 Reaction score 2,272 Mar 6, 2017 Thread starter #5 Muuza Sura said: Babu Gerald Miller wa kwanza. ..jamil khan kashindwa kumaliza. ..Davis mosha kashindwa kumaliza Click to expand... Huyu mzee sasa kazidi apumzike awaachie vijana ... ngoja tusubiri ya Iringa kama ataongoza tena.. Naskia Huwel Kaagiza Ford Fiesta Proton anaweza mkalisha huyu mzee Iringa
Muuza Sura said: Babu Gerald Miller wa kwanza. ..jamil khan kashindwa kumaliza. ..Davis mosha kashindwa kumaliza Click to expand... Huyu mzee sasa kazidi apumzike awaachie vijana ... ngoja tusubiri ya Iringa kama ataongoza tena.. Naskia Huwel Kaagiza Ford Fiesta Proton anaweza mkalisha huyu mzee Iringa
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,376 Reaction score 3,976 Mar 6, 2017 #6 Michezo ya watoto wa kishua
Pukudu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 3,158 Reaction score 2,272 Mar 6, 2017 Thread starter #7
born again pagan JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 2,333 Reaction score 1,500 Mar 8, 2017 #8 Pukudu said: Huyu mzee sasa kazidi apumzike awaachie vijana ... ngoja tusubiri ya Iringa kama ataongoza tena.. Naskia Huwel Kaagiza Ford Fiesta Proton anaweza mkalisha huyu mzee Iringa Click to expand... Ahmed Huwel "chief Mkwawa" namuaminia Ni Nouma huyu jamaa, ana U-turn za hatari
Pukudu said: Huyu mzee sasa kazidi apumzike awaachie vijana ... ngoja tusubiri ya Iringa kama ataongoza tena.. Naskia Huwel Kaagiza Ford Fiesta Proton anaweza mkalisha huyu mzee Iringa Click to expand... Ahmed Huwel "chief Mkwawa" namuaminia Ni Nouma huyu jamaa, ana U-turn za hatari
Pukudu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 3,158 Reaction score 2,272 Mar 8, 2017 Thread starter #9 born again pagan said: Ahmed Huwel "chief Mkwawa" namuaminia Ni Nouma huyu jamaa, ana U-turn za hatari Click to expand... Nafkiri pia kukaa nje ya mashindano kumemfanya asirudie ubora wake ... ila naamini rally ya Iringa atafanya vzur
born again pagan said: Ahmed Huwel "chief Mkwawa" namuaminia Ni Nouma huyu jamaa, ana U-turn za hatari Click to expand... Nafkiri pia kukaa nje ya mashindano kumemfanya asirudie ubora wake ... ila naamini rally ya Iringa atafanya vzur