kisiri mwihechi Senior Member Joined Jun 8, 2015 Posts 135 Reaction score 24 Oct 16, 2015 #1 Wakati upinzani ulionekana kutetea maslahi ya taifa ccm walikomaa kulindana. Sasa majimbo hayoo yanakwenda ukawa.nani wa kulaumiwa.rejea issue ya escrow na mivutano kwenye bunge la katiba mpya.
Wakati upinzani ulionekana kutetea maslahi ya taifa ccm walikomaa kulindana. Sasa majimbo hayoo yanakwenda ukawa.nani wa kulaumiwa.rejea issue ya escrow na mivutano kwenye bunge la katiba mpya.
B betty marandu JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 1,163 Reaction score 725 Oct 16, 2015 #2 Ukuchapao ndo ukufunzao.Nafikir ni fundisho kwa ccm na wote wenye dhamana kujal walowaweka madarakani
Ukuchapao ndo ukufunzao.Nafikir ni fundisho kwa ccm na wote wenye dhamana kujal walowaweka madarakani
Mrembo kipara Member Joined Jul 12, 2015 Posts 24 Reaction score 5 Oct 16, 2015 #3 haya sasa tarehe 25hiyooo....yaja.Yetu maamuz