M markbusega JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 826 Reaction score 850 Dec 23, 2015 #41 Kwanini wawazuie kuvaa makoti meupe ambapo wahudumu wa afya hufanya hivyo hata wauza supu na wauza nyama pia hufanya hivyo?
Kwanini wawazuie kuvaa makoti meupe ambapo wahudumu wa afya hufanya hivyo hata wauza supu na wauza nyama pia hufanya hivyo?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Dec 23, 2015 #42 matumbo said: Uwezi kuona chanzo na wewe ni CHADEMA. Click to expand... Basi itabidi tukae kikao cha chama tutatue hili tatizo........lazima tupate chanzo.......
matumbo said: Uwezi kuona chanzo na wewe ni CHADEMA. Click to expand... Basi itabidi tukae kikao cha chama tutatue hili tatizo........lazima tupate chanzo.......
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,934 Dec 23, 2015 #43 Preta said: Sijui ni kwa nini.......nimejitahidi sana kutafuta hicho chanzo cha kufungwa sijakiona.......kuna aliyekiona jamani anionyeshe.........?........ Click to expand... anzo.... Global Publisher
Preta said: Sijui ni kwa nini.......nimejitahidi sana kutafuta hicho chanzo cha kufungwa sijakiona.......kuna aliyekiona jamani anionyeshe.........?........ Click to expand... anzo.... Global Publisher
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,029 Reaction score 10,025 Dec 23, 2015 #44 Kati ya kigwangala na mwaka,wamegongana kimasilahi,wote wanajuana,ni madakitari wa tiba asili,sema kigwangala amshukulu mama WAMA.
Kati ya kigwangala na mwaka,wamegongana kimasilahi,wote wanajuana,ni madakitari wa tiba asili,sema kigwangala amshukulu mama WAMA.
July Fourth JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 2,240 Reaction score 795 Dec 26, 2015 #45 Preta said: Sijui ni kwa nini.......nimejitahidi sana kutafuta hicho chanzo cha kufungwa sijakiona.......kuna aliyekiona jamani anionyeshe.........?........ Click to expand... hicho hapo
Preta said: Sijui ni kwa nini.......nimejitahidi sana kutafuta hicho chanzo cha kufungwa sijakiona.......kuna aliyekiona jamani anionyeshe.........?........ Click to expand... hicho hapo
Chick_tz JF-Expert Member Joined Mar 2, 2025 Posts 2,447 Reaction score 3,302 Jun 24, 2025 #46 Moisemusajiografii said: Tatizo ni nini?Kuwa na Range Rover na kagorofa au nini? Click to expand... Inawezekana
Moisemusajiografii said: Tatizo ni nini?Kuwa na Range Rover na kagorofa au nini? Click to expand... Inawezekana