Kilichojificha nyuma ya uteuzi wa Prof Kitila na uhalali wa rais Magufuli kuteua wanazuoni

Dr Mathew Togolani Mndeme

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
201
808
tk
 
Attachments

  • kitila2.jpg
    kitila2.jpg
    40.1 KB · Views: 148
  • Kitila.jpg
    Kitila.jpg
    201.7 KB · Views: 173
Haya ndugu: Ngoja nikuwekee Summary ingawa nakushauri soma makala yote:

SUMMARY:
Leo ni siku ya tatu tangu Profesa Kitila Mkumbo ateuliwe na Mh Rais Magufuli kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Maji na Umwagiliaji. Watu wengi wanamfahamu Prof Kitila kama mhadhiri mwandamizi wa elimu ya saikolojia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Hata hivyo wengi zaidi wamemfahamu kama mwanasiasa hasa kutokana na ushiriki wake wa siasa tangu akiwa CHADEMA na sasa chama cha ACT Maendeleo. Baada ya kupata muda wa kusoma na kusikiliza maoni mbalimbali ya watu wa kada na elimu mbalimbali, nimeshawishika nitoe mtizamo wangu juu ya kilichojificha katika uteuzi wake ambacho ninashawishika kwamba wengi wa wanaohoji na kukosa ama hawakifahamu au wamesahau kukitazama.

MOJA: Wengi wanakosoa na kuhoji uteuzi wa Prof Kitila kama KM. Ila wanaohiji wamshindwa kuelewa kwamba amekua akifanya hivyo akiwa mtumishi wa umma aliyejiriwa na serikali hiyohiyo.... ambaye mwajiri wake mkuu ni Rais wa Jamhuri. Je angeteuliwa kuwa Mkuu wa chuo au cheo kingine bado wangehoji ni msaliti wa kisaisa kukubali nafasi hiyo?

MBILI: Nimeona wale wanaohoji wamerejea kauli ya Kaka Kitila aliyoitoa siku za nyuma akiitaka/akiishauri serikali isifanye isiteue wanazuoni kuwapa kazi za kisiasa na utendaji wakati vyuo vina uhaba wa wahadhiri. Hili ni tatizo la wazi tukumbuke waateule hao ni waajiriwa wa serikali na Prof Kitila alipotoa mtazamo wake hakumaanisha kuwakataza wahadhiri wasikubali kuteuliwa kwenye majukumu meignine.

TATU:. Kwenye mikataba ya ajira ya waadhiri wote katika vyuo vikuu, kuna kipengele kinachoorodhesha majukumu ya ajira zao na mwisho ya vipengele vile, kiko kinachosema kwmaba, pamoja na hayo yaliyoorozeshwa, mwajiri ana mamlaka wakati wowote kadiri atavyoona ni vema. Tukisema Prof Kitila angetakiwa kukataa uteuzi, ni sawa na kumwambia alitakiwa aende kinyume na mkataba wake wa ajiri na kutomtii mwajiri wake.

NNE: Kitu kingine kinachawachanganya wengi wanaokosoa na kuhoji uteuzi wa Prof Kitila kwa kuwa ana mtizamo tofauti wa kisiasa dhidi ya chama tawala, ni kushindwa kuelewa kwamba Prof Kitila kwa sehemu fulani/kubwa amekua akifanya kile ambacho wanazuoni wanatakiwa kufanya lakini hawafanyi. Moja ya jukumu la wanazuoni ni kuuliza maswali yenye kuibua fikra mbadala na kutazama kila jambo kwa undani kuliko unavyoliona na kulisikia. Wanazuoni wanatakiwa kuwa na mawazo huru kuongea ukweli bila kuogopa lakini ndani ya misingi yao ya kitaaluma na kuheshimu wale wanaotofautiana nao. Mwanazuoni hamtazami anayetofautiana naye mawazo kama adui au mpinzani bali anajikita katika uhalali na maingi wa hoja kinzani.

TANO: Mwisho, tunapomwangalia Prof Kitila kama mwanasiasa wa chama cha upinzani dhidi ya chama tawala, tusimptizame kwa jicho hilohilo sawa na wanaofanya siasa kama ajira na jukumu la kila siku la maisha. Amekua akijishughulisha na siasa kama ziada ya majukumu yake ya kitaaluma na ndio mana hata chama chake kimekua kikimtumia kama mshauri.
Bado ndefu fupisha tena. Kwa maana unafikiri una Uhuru wa kuandika maneno mengi kiasi hicho, not to that extent. Watch it
 
Hata akina Dr Lwaitama, Prof. Baregu nao walikuwa wanatumiwa na Chadema kama washauri ilikuwaje wao "wakashughulikiwa"?
 
hata samare yenyewe ndefu si unajua watz hawapendi kusoma mkuu!
 
Asante mwalimu Mndeme, Ukisoma Ibara ya 35 ya katiba ya nchi, Utumishi wa Serikali upo chini ya Mamlaka ya Raisi, ila tu huyakasimisha mamlaka hayo kwa waziri mwenye dhamana!

Kwa hiyo ukiwa mhadhiri wewe bosi wako ni raisi, Kwa hiyo ktk muktadha huu Kitila kapangiwa kitengo kingine tu ndani ya utumishi wa umma, kitu ambacho ni cha kawaida tu!

Hivi kwani kila afanyanyaye kazi serikalini ni CCM?
 
Ngoja nigonge like namimi nkuongezee pointi.. maana s kwa pointi hizi ulizosema
 
Mbona raisi alishasema wapinzani hawatogusa serikali yake????sasa huu utumbo umeukuta wapi mkuu
 
Maandishi mujarraaaabu kwelikweli, ila magumu kwa wavivu wa kusoma kama ilivyo kasumba ya Watz wengi
 
View attachment 491764

Leo ni siku ya tatu tangu Profesa Kitila Mkumbo ateuliwe na Mh Rais Magufuli kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Maji na Umwagiliaji. Watu wengi wanamfahamu Prof Kitila kama mhadhiri mwandamizi wa elimu ya saikolojia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Hata hivyo wengi zaidi wamemfahamu kama mwanasiasa hasa kutokana na ushiriki wake wa siasa tangu akiwa CHADEMA na sasa chama cha ACT Maendeleo. Baada ya kupata muda wa kusoma na kusikiliza maoni mbalimbali ya watu wa kada na elimu mbalimbali, nimeshawishika nitoe mtizamo wangu juu ya kilichojificha katika uteuzi wake ambacho ninashawishika kwamba wengi wa wanaohoji na kukosa ama hawakifahamu au wamesahau kukitazama.

MOJA: Uteuzi wa Ndugu Kitila kama KM umeleta mjadala mkubwa kila kona (hasa mitandaoni na vijiweni) na kwa mtazamo wa haraharaka wengi wanahoji uhalali/ maana / relevance/ msingi/ nk wake kama ambavyo baadhi yetu wameonesha hisia hizo mahali hapa. Kasoro ya hoja zinazohoji uteuzi huu ni pale zinaposhindwa kukiri na kutambua kuwa, pamoja na ukweli kwamba amekua na "maoni tofauti au mbadala" na maswali magumu dhidi ya "serikali ya chama tawala" katika mlengo wa kisiasa, amekua akifanya hivyo akiwa mtumishi wa umma aliyejiriwa na serikali hiyohiyo.... ambaye mwajiri wake mkuu ni Rais wa Jamhuri. Ningeona msingi wa hoja zinazotia shaka uteuzi wake iwapo angeteuliwa kuwa mtumishi au mbunge wa kukiwakilisha chama tawala au kazi nyingine inayofanana na hiyo. Hapa tungeuliza mantiki/uhalisia wa shekhe kuswalisha swali ya adhuhuri halafu muda wa swala ya magharibi tukamkuta kavaa joho la kikasisi anaongoza misa kanisani. Lakini hiki sicho kilichotokea na nimejiuliza maswali:

1. Kwani iwapo Ndugu Kitila angeteuliwa kuwa DVC au VC wa UDSM au chuo kingine cha umma, nako tungekupinga na kuhoji uhalali wake kwa sababu tu amekua na mtizamo tofauti wa kisiasa dhihi ya serikali ya chama tawala?

2. Tunataka kudanganyana kwamba kila mtumishi wa serikali au taasisi zake mwenye cheo kikubwa ni mpenzi/mwanachama kindakindaki wa chama tawala?

3. Tunataka kushawishiana kwamba walio na maoni tofuati na chama tawala hawana nafasi ya kutumia uwezo na nguvu zao kuitumikia nchi yetu pamoja na wengine?

4. Wako wanataaluma ambao tunawafahamu kwa majina na mitizamo yao ni dhahiri kwamba ina kinzana na chama tawala lakini hawajitambulishi hadharani. Wakiteuliwa nafasi za uongozi ndani ya vyuo au nje kama Prof Kitila watamkatalia mwajiri wao?

MBILI: Nimeona wale wanaohoji wamerejea kauli ya Kaka Kitila aliyoitoa siku za nyuma akiitaka/akiishauri serikali isifanye isiteue wanazuoni kuwapa kazi za kisiasa na utendaji wakati vyuo vina uhaba wa wahadhiri. Sidhani kama kuna mtu anayeelewa hali ya vyuo vyetu ambaye hana swali anapoona wahadhari (hasa wabobezi/ waandamizi) wanapewa majukumu mengine nje ya vyuo. Ila pamoja na maswali hayo, bado waateule hao ni waajiriwa wa serikali na serikali inapona kuna msaada wanaoutaka toka kwao wana mamlaka ya kuwatumia. Lakini sidhani kama Kaka Kitila alipotoa mtazamo ule kulimaanisha kuwakataza wahadhiri wasikubali kuteuliwa na mwajiri wao anapojisikia kuwapa majukumu mengine. Ushauri ule haukuelekezwa kwa wanaoteuliwa bali kwa wanaoteua na ninashawishika kwamba hata leo angepewa nafasi nyingine ya kutoa maoni yale kama mwanazuoni, bado ungetoa ushauri uleule bila kujali kwamba yeye ni mmoja wa walioteuliwa au vingineivyo.

clip_image003.jpg

TATU: Serikali ina mamlaka ya kumpangia mtumishi wake majukumu kulingana na vile inaonavyo ni sahihi na mtumishi akikataa ina mamalaka pia ya kumfukuza kazi maana hakuna mwajiri aliye tayari kuajiri mtumishi mwenye kiburi na asiye tayari kutii mwajiri wake. Kwenye mikataba ya ajira ya waadhiri wote katika vyuo vikuu, kuna kipengele kinachoorodhesha majukumu ya ajira zao na mwisho ya vipengele vile, kiko kinachosema kwamba, pamoja na hayo yaliyoorozeshwa, mwajiri ana mamlaka wakati wowote kadiri atavyoona ni vema. Tukisema Prof Kitila angetakiwa kukataa uteuzi, ni sawa na kumwambia alitakiwa aende kinyume na mkataba wake wa ajiri na kutomtii mwajiri wake. Mkataba wa ajira wa mwanazuoni yeyote wa taasisi za umma, unampa mwajiri wake (serikali) mamlaka ya kumpangia majukumu kadiri aonavyo inamfaa na mwajiri wao mkuu kwa sasa ni Mh Rais Magufuli: na wanalazimika kumtii katika majukumu ya kazi zao bila kujali walimchagua au kinyume chake na iwapo wanakubaliana naye au wana mambo wanayokosoa na kutofautiana naye. Tofauti na wanasiasa wa ajira, wanazuoni hujikita kuuliza maswali kukosoa/kuhoji mambo (issues) na kuepuka kumzungumzia yule wanayetofautiana naye au kumtazama mtu wasiyeweza kushirikiana naye. Katika taaluma, maarifa na hoja zenye tija huibuka katika mazingira ya kutofautiana kuliko kukubaliana.
View attachment 491761

NNE: Kitu kingine kinachawachanganya wengi wanaokosoa na kuhoji uteuzi wa Prof Kitila kwa kuwa ana mtizamo tofauti wa kisiasa dhidi ya chama tawala, ni kushindwa kuelewa kwamba Prof Kitila kwa sehemu Fulani/kubwa amekua akifanya kile ambacho wanazuoni wanatakiwa kufanya lakini hawafanyi. Moja ya jukumu la wanazuoni ni kuuliza maswali yenye kuibua fikra mbadala na kutazama kila jambo kwa undani kuliko unavyoliona na kulisikia. Wanazuoni wanatakiwa kuwa na mawazo huru kuongea ukweli bila kuogopa lakini ndani ya misingi yao ya kitaaluma na kuheshimu wale wanaotofautiana nao. Mwanazuoni hamtazami anayetofautiana naye mawazo kama adui au mpinzani bali anajikita katika uhalali na maingi wa hoja kinzani. Wanazuoni wengi wa nchi yetu hawafanyi mambo haya katika mambo yanayowahusu utawala wa nchi au mambo yanayoihusu jamii na badala yake hufanya hivyo kwenye “vijiwe vyao vya kitaaluma” au mijadala binafsi.

Kuna sababu nyingi zinazopelekea hilo ila mojawapo ni tatizo au mtizamo wa kijamii/kitamaduni ambao wengi wetu tunao kwa kutolelewa katika mazingira ya kifamilia na kitaaluma yanayokuzoeza kutoa mawazo/mitizamo yako na kuuliza maswali bila hofu na bila kuathiri uhuru na mtizamo wa wengine. Pili, wanazuoni wengi wanaamini kwamba wao wanatakiwa watoe mitizamo/misimamo yao na kuuliza maswali kwenye mazingira ya kitaaluma pekee na sio katika mambo ya kijamii/kisaisa/uongozi. Kwa muda mrefu Prof Kitila amejitofautisha na wanazuoni wengi kwa kuwa mwepesi kutoa mtizamo wake na kuuliza maswali katika mambo ya msingi. Na hajakosoa na kuuliza maswali tu, bali pia amekua akiunga mkono mambo mengi anapoona yana mantiki na hata kudiri kutoa mtizamo wa kutofautiana na mawazo yanayotabirika katika mazingira fulani ambayo hushabikiwa na wengi. Wasioelewa mipaka na uhuru wa wanazuoni katika kutoa maoni, wamekua wakimtizama kama manafiki anapotofautiana nao katika mazingira kama hayo au kumchukulia kwamba anajipendekeza kwa sababu wanategemea wamsikie akiwa na kauli na mtizamo wa wengi. Prof Kitila amekua akitoa hisia na kauli zenye mwelekeo wa kisiasa lakini akijitahidi ubaki ndani ya msingi wa kitaaluma kama mwanazuoni.

TANO: mwisho, tunapomwangalia Prof Kitila kama mwanasiasa wa chama cha upinzani dhidi ya chama tawala, tusimptizame kwa jicho hilohilo sawa na wanaofanya siasa kama ajira na jukumu la kila siku la maisha. Amekua akijishughulisha na siasa kama ziada ya majukumu yake ya kitaaluma na ndio mana hata chama chake kimekua kikimtumia kama mshauri.

Hongera Prof Kitila kwa uteuzi na majukumu mapya uliyopewa. Tulifanya kazi karibu na wewe hatuna shaka na uwezo wako mkubwa wa kiakili, maarifa na kujifunza. Siku zote umekua mtu wa matokeo na kutopoteza muda. Uteuzi huu ni mwanzo tu wa makubwa yanayokusubiri mbele yako na ni Imani yangu kwamba uwezo na ush awishi wako kama mwanazuoni utaonesha matokeo chanya katika jukumu hili na mengine yaliyo mbele yako.

Mungu akubariki.

Imeandikwa na Mathew Mndeme (Mwalimu MM)
Mhadhiri na mtafiti wa mifumo ya TEHAMA katika huduma za afya
Unaweza kumwandikia kupitia mmmwalimu@gmail.com
"MBILI: Nimeona wale wanaohoji wamerejea kauli ya Kaka Kitila aliyoitoa siku za nyuma akiitaka/akiishauri serikali isifanye isiteue wanazuoni kuwapa kazi za kisiasa na utendaji wakati vyuo vina uhaba wa wahadhiri"
Kumbe unatete kitumbua cha KAKA yako Kitila?
 
Sheria inakataza mtumishi wa serikali kufanya kazi za siasa wakati akiwa muajiriwa wa serikali,ni lazima achague moja na mifano ipo ya maprofesa waliokosa kuongezewa mikataba kwa kujihusisha na siasa,ilikuwaje huyu?kwanini tusiamini kwamba alikuwa kibaraka na sasa kapata malipo yake?
 
Duuuuh injili ya Mathayo Mtakatifu.
In short ni kuwa Propesa huyu naye atatakiwa kutekeleza ilani ya chama tawala na sera zake hata kama hazitaki.

Akileta ubishi atatumbuliwa
 
You
 
Back
Top Bottom