Mwenezi ACT
Member
- Apr 11, 2015
- 36
- 7
litabakia jengo tu, ngoja watu wajue ukweli
Chama ni chake, jengo ni lake, malori ya loudspeaker ni yake. Sasa tatizo liko wapi?
Mamamae ulikokimbilia nako umeangukia mikononi mwa Aya.to.llah Luholla Khomeiney, sasa utatorokea wapi? Na ulikuwa na cheo gani kwenye chama mpaka useme ulichoka kulipa kodi ya pango, wewe ni nani? Huna lolote!!Mwnyekiti amekuwa mbishi kujenga jengo la makao makuu. Nikachoka kulipa kodi kuchangia jengo lake. Hapo kweli nikaamini ile ni SACCOS, kama ni chama chenye maslahi kwa watanzania Mhe (...) mshaurini asichukue tena kodi.
Kwa hiyo jengo la Ufipa ni mali ya Mwenyekiti? Mkuu lete ushahidi tutangie. Mkuu Ritz umesikia hii?Mwnyekiti amekuwa mbishi kujenga jengo la makao makuu. Nikachoka kulipa kodi kuchangia jengo lake. Hapo kweli nikaamini ile ni SACCOS, kama ni chama chenye maslahi kwa watanzania Mhe (...) mshaurini asichukue tena kodi.