lukule2009
Senior Member
- Sep 23, 2009
- 132
- 11
Mama Kilango naye awe anapima maneno anayoongea, anaropoka sana huyu mama yetu matamshi yake yanaweza kutafsiriwa vibaya na ikamharibia. Mambo ya kutokuwa na chuki ama kinyongo ayaweke moyoni mwake kuna haja gani ya kuyatamka hadharani unless anataka kujipendekeza kwa Lowassa! Na kwa nini awe na mawazo ya 'kuvamia' majimbo ya wengine wakati lake analo? Si awaache wanaowania kugombea kwenye majimbo hayo wao wenyewe ndio waseme ama wavalie njuga mapambano kwenye majimbo husika? Je ni background yake inafanya awe hivyo?
Unamwonea. Haropoki. Anasema anachoamini. Kwani jamani kila siku mtu aseme tunachopenda? Mama ana uhuru wa mawazo kulingana na imani ya chama chake cha siasa. Ana mipaka - CCM
- Hakuna mwenye kinyongo na Lowassa, isipokuwa wananchi wengi tuna kinyongo na matendo yake alipokuwa Waziri Mkuu kwa kuliletea taifa letu hasara kubwa.
- Eti kutokua na kinyongo na mtu as a person ni kumfagilia? This is lowest nimewahi kuona humu JF, tufike mahali tuwe kama tunavyoaminika na taifa I mean what a news au ndio ile ile tabia ya kuongelea tunaowapenda tu!
Respect.
FMEs!
Mkuu hii ni copy and paste from gazeti la Mtanzania,ni habari ilyoripotiwa na gazeti la jumatano nov 25 2009 au kosa kuwahabarisha wale ambao hawakusoma hilo gazeti lakini pia kupata maoni ya watu mbalimbali?
Mkulu ES- Sawa sawa mkuu, hawa marafiki wawili somehow huwa tunau-underestimate urafiki wao, kuna something EL anakujua sisi wote hatukijui maana haiwezekani akafanya yote anayoyafanya bila woga tena wazi wazi, tufike mahali wa-Tanzania tukubali kwamba kuna something hatukijui EL anakijua je nini hicho?
- Maana habari on the ground ziko very loud and clear, kwamba he is coming yaani EL!
Respect.
FMEs!
Lazima tukubari kuwa Lowassa ni powerful na inahitaji mtu mwenye kujiamini sana kisiasa kumkana hadharani. Na tukubari pia kuwa mama kilango alikuwa na haki ya kujibu vile anavyoona inafaa. Yale maswali aliyoulizwa hayakuwa ya bahati mbaya hata yeye anajua kuwa hayakuwa ya hapo kwa hapo bali yalipangwa mapema na lengo linaonekana wazi nalo ni kupima kama amesha lainika na ile warning ya mama simba. Maadamu sasa ameshailainika basi ataachiwa ajinyonge mwenyewe.
Ila kama angleeta jeuri tena wangelipua kingine mpaka watakapofika kwenye karata yao ya mwisho ya mapowwwwwder!