wakati mwingine wanakucheat kwasababu unawapa kila kitu,wanaenda kwa wanaowanyima baadhi ya vitu!jaribu kubadili aina ya mahusiano uliyonayo na hao wanaume my dear!si nyakati zote kujitoa kiasi hicho unachofikiri unajitoa kinasaidia kulimudu penzi!mi huwa naamini mapenzi hujengwa na vitu vidogo sana na hubomolewa na vitu vidogo vile vile!so badili karata mama!pima maji kwanza kabla hujatia unga kusonga ugali!
Dada King'asti kumbe ww ndo marketing manager? u should hv told me before tupake rangi chumba cha mzee home!
dada umesema kile kitabu ni kizuri nilikisoma kikanipa funzo sikuai i kufikiri maishani .
pole,pole sana.iko siku matatizo yote hayo yatakwishajamani unaakuta unampa kila anachota heshima, mapenzi yoote malipo yake kuumizwa tu jamanni kweli dunia haina usawa
Hebu mshauri tena snowhite bana..
Do you mean ukimpa mtu kila k2 anakumwaga??
Hilo ndilo neno la Mila! Tuwashukuru Mababu!!pole sana lakin pia hebu angalia aina ya watu unaotoka nao. manake yawezekana unatoka na watu ambao wewe siyo class yao ama unaghubu sana ndo mana wanaafuta liwzo nje. hebu jaribu kuongea na uliye naye mwambie akwambaie weak points zako ambazo hazipendi. kubali kuambiwa ukweli.
on the other hand ni tabia za watu a kileo so huwez kuwa na wako peke yako. ishu tu ni kwamba lazima awe anakutunzia heshima yako basi. asikuletee wala kukuonyeshea wazi. kwa maelezo zaid ngoja nikuitie huyu mwenyekiti wa infidelity club Asprin akueleze ukweli.
Khaaaa! Wake zangu Yummy, cacico na BADILI TABIA chini ya uongozi wa Kongosho hebu njooni msome hii makitu....... Ila mimi aku! Kuweni wasafi kila idara ili nami niwape raha kwenye kila idara. Kuwachafua niwachafue mie sio mchafuliwe na mijasho na minini sijui....Khaa... mtaula wa chuya. Mtu mpaka kulamba papai uone kinyaa? Staki nasema staki!pacha hii dunia ina mambo kakaangu!kuna story falni hivi kuna mama alituhadithia ofisini ilinifanya nitafakari kweli kweli kuhusu kitu kinaitwa ridhiko la kimapenzi kwa mwanadamu!huyo baba alikuwa ana mahusiano na house girl,mke wake ni bomba ile mbaya,then anafanya yale yote unajua mwanaume anataka afanyiwe pacha!yet yule mume alikuwa anatoka na huyo binti wa kazi,mkewe alipokuja akugundua akamuuliza mumewe nini sababu,kama ni kupika nakupikia,natunza nyumba,nafanya miradi,tunasali pamoja,nakuhudumia kila aina ya mapenzi na kama ni usafi ndo usiseme kuanzia nyumba mpaka mwili,mwanaume akadakia mke wangu hapo hapo kwenye usafi,ur too neat!too neat!wakati mwingine nakuwa nna hamu na zenye harufu ka ya fenesi!
Subiri upendwe wewe usiende unapopenda upendwe wewe kwanza dia utaenjoy, kupendwa raha kupenda karahakila siku mimii tu kila naekua nae kimapenzi lazima anicheet ninamkosi gani jaman au ninamatattizo gani mimi mbona wengine wanafurahia maisha yao ya mapenzi. WHY ME!!!!!???????
khaaaa! Wake zangu yummy, cacico na badili tabia chini ya uongozi wa kongosho hebu njooni msome hii makitu....... Ila mimi aku! Kuweni wasafi kila idara ili nami niwape raha kwenye kila idara. Kuwachafua niwachafue mie sio mchafuliwe na mijasho na minini sijui....khaa... Mtaula wa chuya. Mtu mpaka kulamba papai uone kinyaa? Staki nasema staki!
Sema hapana kwa uchafu!!
Hivi we Asprin hizo pumba huwa unazitoleaga wapi?unajua mi nimeona hii quote nikabaki najiuliza hivi huyu ni nani?kucheki ni wewe nikasema looooooo wazazi wanazaa jamani.kwani mungu alimuumbia Adamu wake wangapi?Tena naomba usimfundishe Kaizer wa watu tabia zako mbaya.Hilo ndilo neno la Mila! Tuwashukuru Mababu!!
Popote ulipo Kaizer, tuna mwanachama mpya hapa! Wanawake watakapokubaliana na ukweli huu hapo red, wangepunguza misongo mingi ya mawazo.
Jamani, wanaume hawakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Hivi huko mitaani hamuyaoni mabeberu na majogoo? Khaaa!!
Hauko peke yako,either
wengi wetu hatujua kama ana cheat,ila wewe una bahati ya kujua
ukweli.Mahusiano siku hizi hakuna cha peke yako,relationship nyingi
zimekua kwenye mtandao bila wenyewe kujijua.Tuombe tu Mungu atuepushe na
magonjwa
pole sana dada yangu kuwa na subira na siku moja utampata wa kweli mpaka utafurahi mwenyewe.kila siku mimii tu kila naekua nae kimapenzi lazima anicheet ninamkosi gani jaman au ninamatattizo gani mimi mbona wengine wanafurahia maisha yao ya mapenzi. WHY ME!!!!!???????
Mtake radhi mwalimu wangu! Sijawahi kumfundisha, bali ye ndo hunifundisha.
Hahahaaaa!...unamanenoooo!...pole mama pita.
Sasa wee mwenyewe unajiita mama pita, maana yake wapite tu.
Majina haya jamani.
Ahsante mwalimu. Usisahau kupeleka somo hili kwa wanafunzi wako, na hasa Kaizer.