Kila siku maisha ni afadhali ya Jana.

Kila siku maisha ni afadhali ya Jana.

aliceanna

Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
31
Reaction score
4
Watanzania tuna rasilimali tele hivi ni kwanini sisi ni masikini?? Leteni hoja wadau.
 
(1) viongozi wetu siyo wazalendo wanagawa rasilima za nchi bila kufata taratibu mwisho wa siku nchi inaingia katika matatizo
(2) wananchi tumebakia blah blah mdomo tu..ndiyo hata kama serikalI haitusaidi kutuwezesha lakini sisi kama sisi inabidi tu force wenyewe kupata tunachokihitaji kama ni ardhi, maeneo ya madini etc na sisi tunakuwa tuna miliki
 
Back
Top Bottom