Hii ni mbinu ambayo mademu vicheche wanaitumia siku hizi ukimtongoza anakwambia kua ana MTU then ukiendelea kumtongoza atakubali,ila atakutaka uwe na tahadhar kwa huyo unknown MTU wake,ili kesho hata ukimkuta chocho na mwanaume mwingine usimuulize sana a kiukwel anakua hana MTU maalum ila ni dege LA jeshi popote kambi,ingawa wapo wachache pia waaminifu wanaitumia kukwepa usumbufu zaid kutoka kwa men