Kila ninayekutana naye namtia mimba nashangaa kwa kweli

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Sijajua nina mbegu kali sana, wananitegeshea au shida sijui ni nini. Kila demu ninayetoka naye tukiwa kwenye mahusiano zaidi ya mwezi haichukui muda anakuja na malalamiko nimempa mimba. Huwa najitahidi kukojolea nje ila mwisho wa siku naletewa malalamiko ana mimba

Nimechoka hii hali nafikiria njia nyingine ya kufanya ili nisiwape mimba kama wanavyodai. Wakuu nifanyaje kuepusha hizi kesi kesi za mimba kwa hawa mademu zangu?

NB: Siwezi kuacha kugegeda na condom sijui mara ya mwisho nimetumia mwaka gani.
 
Wanatumia kigezo hicho kukupiga mpunga utashangaa wanaomba ela ya kutoa hii ishu mbona IPO kitambo
Mkuu hao wote nakuwa nao jino kwa jino kuanzia kupima kuprove mpaka hatua ya mwisho so wengi nimewaweza janja yao ya kutaka kunipiga hela
 
Inashangaza sana mwanaume kushangaa kumtia mwanamke mimba mbona ni vitu vya kawaida kinachokushangaza ni nini sasa iwapo mtu alikuwa hazai ukamtia mimba hapo ndipo inabidi ushangae
 
Izo mimba sio zako wanacheza na akili yako tuu....
Ila hakuna hata mmoja alieniingiza king,nawaambia watoe nawapa dawa mwenyewe,wasiotaka naachana nao watajijua wenyewe na nawapiga stop wanione kama kituo cha police ,so janja janja yao ya kutaka kunipiga pesa kwangu wanafeli
 
Back
Top Bottom