kILA NIKIVAA CONDOM TU! GOBORE LINASINYAAA!


gobore inakosa hewa yakheee!!
c ungeenda kupima kwanza kabla
ya ku do na huyo mpya?one mistake one goal!!
 
Labda mawazo yako yanakuwa sana kwa girlfriend mliyeachana ndo maana hali hiyo inakukuta
 
Kumbe ndo mlivyo hivi wanaume,, Ee Mungu nilindie wa kwangu popote anakopita.
 

hakuna lolote punyeto zinawaharibu kama unabisha wauliza watu nane kati ya kumi waliokubmwa na tatizo hilo utajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…