kILA NIKIVAA CONDOM TU! GOBORE LINASINYAAA!

Kwa kuona labda huyu msichana atanichukulia ndivyo sivyo nikaamua kula mzigo kavukavu na mambo yakawa bweee!

Tatizo lako linaonekana ni la kisaokolijia zaidi, akili nafikiri ilikuwa haijajiandaa vyema. Ila hapo nilipobold kaka, yaani ulikubali kuungia kavu kavu kwa kuogopa kuonekana ndivyo sivyo? Haya maamuzi yalikuwa hatari mno, maana ulihatarisha maisha yako kwa sababu nyepesi kabisa, kuonekana ndivyo sivyo! Kuwa makini kwenye mahusiano mdogo wangu, utapotea!
 
Hajiamini au mtoto

 
they say everything is according to destiny...You were not destined to have safe sex... simple as that!
 
siku gobole lisipofanya kazi tumia pisto, na acha uzinzi/ uasherati
 
Ukiona hivyo kifo kinakuita maana kavukavu co mpango kama ukishindwa ni bora ukaowa kabisa uwe na mwandani wako tu !!!!!!!!!!!!!!!
Kuliko kuwa play boy
 
Kazi ipo.Majuto huja mwisho
Kweli kichwa cha chini kikismama cha juu hakifanyi kazi
Hahahahaahahahaaha!!!! kwa hiyo cha chini kinakuwa na nguvu ya kufikiri kuliko cha juu kwa wakati huo,Duh!!!!!
 
mimi nishauza sana mechi kudadadekiiiiiiiiiiiiiiiii kitu kikigoma naingiza fasta
 
ha ha ha... pole sana. dah! yaan hata goli la kwanza bado kitu kinalala!!.tena una miez 2 hujado!!, we sio mzima atiii. mie iliwahi kunitokea lakin kwa dem ambaye nilikuwa simfeel kabisa. na hii ilikuwa kwa round ya tatu na kuendelea sio la kwanza.

ushauri;
1. punguza munkari na papara.
2. jaribu kuvuta hisia kwa dem huyu mpya, maana inaonekana bado hisia zipo kwa dem wako wa zamani.
3. ukishindwa nenda kampime HIV uanze kula kavukavu. (halaf uoe sasa mambo haya mungu hapendi ujue)
 
duh... ila wewe bandika bandua, unapiga chini huyu unaokota mwingine...Hatariiiiiiiiii
 
huyo dada ana matatizo, anaweza kuwa na ngoma. kama hana matatizo asingekubali kavukavu. ni ajabu kwamba hata hakusita kupigwa kavukavu.

mbona muombaji hajasita.......,
kama dada alikuwa style za kina Mary wa Mlalakua Mwenge anatafta wa kwenda nao
 

Wahi Tanga kwa mwinyi umesha pigwa daflani na huyo sholi uliye mtema.
 
Wakati wa mafunzo jandoni katika yale maeneo machache yanayoendelea kudumishwa mila hiyo, vijana tuliambiwa kuwa ukiona hali imekutokea kama hiyo, ujue partner wako ana matatizo kama vile ugonjwa, kwa hiyo mwili wako umehisi hatari. Sina uhakika kama yalikuwa ni maneno mbofu mbofu au kuna ukweli, ila mimi ikinitokea hivyo, sitaendela naye.
 
tatizo likaja pale
nilipoanza kuvaa condom maana nilishangaa
kuona gobore limelala doro!
 
mna vaa za nini?
kosa la kuvaa kondom bora la kutoa mimba! ikuvaa unawaua wengi! acheni uzinzi bana nyie vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…