Kila nikitafuta wa kumuoa, naangukia kwa wadada wenye umri mdogo

Acha kuwapiga chenga, chenga mwachie Messi. Wew Cha kufanya, ingia bafuni jisopishe, afu ukalale.

Nafikiri Kwanga itakuwa imepevuka kulingana na umri wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajamvi habari zenu.

Twiga Stars wananiganda, najibandua naangukia kwao tena. Nataka veteran mwenzangu (24+)

Naombeni ushauri,

Mimi ni kijana wa umri uliokomaa kuoa sasa hivyo nataka kuanzisha michakato ya kuoa ingawa kikwazo kikubwa sipati wale mabinti ninaowataka isipokuwa wanajilengesha kwangu wasichana wazuri ila nawaona wadogo na nisioweza kuwaoa.

Nataka binti aliyepevuka mwili na akili, changamoto ni hawa Twiga Stars wananiganda kama ruba. Nikimpiga chenga huyu naangukia kwa yule.

Nifanyeje wadau?


Sent using Jamii Forums mobile app

We mwenyewe serengeti boy kumbee!! Usituchoshe watu tuna 35 na rada haisomi kbs we unatuletea utoto


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom