Kila Mtu na Mtuwe


hapa alikua najiandaa na episode gani sijui
 
wanapendeza sana mkuu Kabanga
 
Hapo atakuwa yupo ngorongoro kukaguwa bado tembo wangapi na faru vipi wapo au washatekitea
 
Wazinzi wamekutana, ila Diamond yupo speed anaweza kumpita mkuu wa kaya, hapo ameitwa kuwekeana mipaka wasiingiliane kwenye makoloni
 
Wazinzi wamekutana, ila Diamond yupo speed anaweza kumpita mkuu wa kaya, hapo ameitwa kuwekeana mipaka wasiingiliane kwenye makoloni
ajiwekee tu akiba ya tiba ya lile tezi .............
 
Nahisi Diamond atagombea Ubunge Bagamoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…