Alfred P.Masesa.
Member
- Feb 7, 2015
- 13
- 5
Mwanadamu ni kiumbe wa ajabu sana kuliko viumbe vyote duniani,mwanadamu ni muoga sana kuliko viumbe wote duniani,mwanadamu huyo huyo akiamua kuwa jasiri, ni jasiri kuliko viumbe vyote duniani, jambo ambalo wengi wetu hatulijui ni kuwa sisi ndo tuna dhamana ya kuamua hatma ya maisha yetu, kwanini nasema hivyo?
Soma mfano huu:Charles alimwambia baba yake wakati huo akiwa na umri wa miaka 10,baba nikiwa mkubwa lazima nitakuwa tajiri na nitakutunza wewe na mama mtaishi maisha mazuri sana hapa duniani,kweli charles hadi anatimiza miaka 45 alikuwa tayari tajiri mkubwa akisaidia ndugu zake wote, Evod alimwambia mama yake kuwa, mama maisha yetu ni dhiki tu kila siku sidhani kama tutakuja kufanikiwa,
kweli hadi sasa Evod ana miaka 49 maisha yake ni dhiki tu,anaishi kwa kuombaomba na kula yake ni ya shida sana,we're the fate of our destiny,kila upangacho lazima kiwe hapa duniani,maneno yetu ndo yanaumba hatma ya maisha yetu,kinywa huumba uzima na mauti,utakalo wewe leo ndo litakutokea kesho,kauli huumba,kila mmoja na aelewe.