Kila mtu ana malaika wake amlindaye

Kimsingi mambo haya yamekaa kiimani zaidi na sio dhahiri....ikiwa utaamini uwepo wa muumba hapa ulimwenguni.....ni lazima utaamini vitu kama hivi......
Kwa kawaida ni kwamba hakuna jambo ambalo limetokea tu kama ajali bali majambo huundwa.....hata haya majengo ya kale tunayoyaona leo ingawa mafundi wake hatuwajui lakini tunaamini kuwa yalijengwa na hayakushushwa.......na hata ukitumia akili yako kidogo ukifikiria namna mfumo tata wa mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi katika mpangilio maalumu na katika matukio maalumu tena wakati mwingine hata katika matendo yasiyo hiyari....utagundua kuwa yupo aliyefanyiza haya yote katika umakini wa hali ya juu na sio kuwa yalitokea kama ajali....na huyo sio mwingine bali ni Mungu pekeee........ni mambo ambayo kuwa kiasi kikubwa huwa yanapatana na akili ikiwa utaielekeza akili yako kwenye kuitafuta kweli iliyonyoooka na sio kwenye upotevu uliopotoka........hata ukiutazama mpangilio wa nyota angani na mfumo wa Jua utauona utukufu wa Mungu.....
 
Sisi waislamu hilo jambo lipo wazi kabisa..kwanza tunamin kila MTU ana malaika wa kuandika mema na mabaya yake tens kwa majina rateed na rakeed kama sikosei.kila Jema ufanyalo au zuri basis wao huandika pia kuna wapo wa kukulinda..wanakulindaje halo pana ka utata kidogo research still on progress
 

Utata upo wapi kwani ni mabalaa mangapi ambayo yanatuepuka katika hali ambayo hata sisi wenyewe hatuifahamu wala kudhani.....au ni mabalaa mangapi ambayo sisi kila kukicha yanatukuta lakini yanatuepuka mpaka mwenye unasema "duuuuuuh" ilikuwa nife ile yaani kama bahati tu....
 

Mkuu utajaribu kuniconvince hadi kesho sitokuelewa, yani Mungu awekee watu bilioni saba wte kila moja ampe malaika wake, hiyo ina make sense? Wameandika wapi hicho kitu? Kazi ya malaika toka lini imekua kukaa na mtu daily wanamuangalia? Afu unavosema yahitaji mtu kua deep in faith kuongea na huyo malaika wake, wewe umefanya hivo ukaprove? Kama no, then kwa nini unaassume hivo huku wewe mwenyewe u cant do it?
 
Kimsingi mambo haya yamekaa kiimani zaidi na sio dhahiri....ikiwa utaamini uwepo wa muumba hapa ulimwenguni.....ni lazima utaamini vitu kama hivi......
That is what a rationalists would say, hata mimi sikatai most events are logical and could be explained or at least attempt are made, even the heavenly god who is responsible for mankind anaacha maswali kuliko majibu.

But then unakutana na situations fortune favors you even when you were at fault constantly mpaka unasema kulikoni. Binafsi i agree eventually luck will run out if the person does nothing lakini kuna nguvu sometimes ambazo zipo nyuma ya mtu kwakweli kama mlinzi hilo as irrational as it may sound I have experienced it to reach into such conclusion.

Ningeweza kukupa mifano we mwenyewe ungeshangaa wacha nimwachie huyo malaika.
 

Isome comment yangu yote........
 
Isome comment yangu yote........
It does make sense lakini kwenye dunia ya laboratory science jengo alipindi tu bila ya understanding za principles of of physics vinginevyo litaanguka kama ukufanya experiments zako sawa na kama ni dunia ya wazungu manslaughter might follow suit.

Nachokubali ni in events and situations were luck as to play apart hapo ndio nakuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…