kibaigwa finest
Senior Member
- Oct 18, 2026
- 190
- 217
Sidy boy hafai hata kwa dawa.Kocha wa yanga manqoba kashakusanya mabegi yake hii ndiyo yanga dada ninayoijua Mimi
NB:Kuna uwwzekano mkubwa kocha SAED RAMOVIC kurudi Tena uanga
Huyo pia sio kocha.Kocha wa yanga manqoba kashakusanya mabegi yake hii ndiyo yanga dada ninayoijua Mimi
NB:Kuna uwwzekano mkubwa kocha SAED RAMOVIC kurudi Tena uanga
Huyo pia sio kocha.
Ni tapeli.
Sidy boy hafai hata kwa dawa.
Bora arudi Miloud au Gamond.
Kama inawezekana bora arudishwe Miloud au Gamondi.Unashauri Nani sasa au fadlu
Aende tu
Kwasababu mmezoea kuiba Simba, mi nawashauri Yanga wamchukue Jamhuri Kihwelu "Julio"! Ahahahahaha!Sidy boy hafai hata kwa dawa.
Bora arudi Miloud au Gamond.
Wakimchukua huyu watakuwa wamerudia makosa yale yale hawajatibu kitu. Makocha waaliopita Yanga na walikuwa vizuri Katia mbinu na ufundi ni watatu tu 1) Nabi, Gamond na Miloud wengine hao hamna kituSidy boy hafai hata kwa dawa.
Bora arudi Miloud au Gamond.
Hata wasiporudi nmojawapo kati ya hawa tunatakiwa tutafute kocha mwingine mwenye same philosophy na hao.Wakimchukua huyu watakuwa wamerudia makosa yale yale hawajatibu kitu. Makocha waaliopita Yanga na walikuwa vizuri Katia mbinu na ufundi ni watatu tu 1) Nabi, Gamond na Miloud wengine hao hamna kitu