Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,436
Tujifunze kuishi vizuri na watu ndugu zangu ili kesho habari zetu ziwe mfano mzuri kwa vizazi vijavyo
Maraika❌maraika
Ukiwa Tanzania meseji za kukumbusha binadamu wana mwisho hivyo tuishi vizuri na kumtaja Mungu ni nyingi kweli kweli. Unaweza kudhani hawa watu ni watakatifu wa hali ya juu na wana busara. Subiri uone mitaani kulivyo na unyama na vitendo vya kikatili. Majuu watu haya mambo hakuna ila watu wana utu kuliko sisi.Alikuwepo mungu na maraika wake watiifu akatukuzwa akasifiwa aka abudiwa lakini akaja aka asiwa
Tena na maraika mtiifu wa kuaminika kwake
Walikuwepo wababe wa dunia Wala rushwa majambazi wababe wenye misuri Kama ya ng'ombe watu makatiri wenye uwezo wa kifedha na mamlaka leo hawapo Tena
Maisha tuna pita tujifunze kuishi vizuri nawatu
Yuko wapi daudi,sauri,suremani,ezekia, Joshua,msa,farao,nk?
Wapii papii kocha,madiru system,yondo sister,Kanda bongo Mani,arusi ma bele,ruketo,nk?
Wako wapi akina sinta,Nita,nk?
Wako wapi akina nyelele,jomo Kenyatta,moy,jpm,mkapa,nkuluma,Mobutu, Mandela,casto,amin dada,obote,nk?
Wote hao ime Baki history hata Mimi na wewe kesho yetu ipo hivyo tuta kuwa stories
Tujifunze kuishi vizuri na watu ndugu zangu ili kesho habari zetu ziwe mfano mzuri kwa vizazi vijavyo
Niwa takie jioni njema ya jumapili njema
Sio kwelisUkiwa Tanzania meseji za kukumbusha binadamu wana mwisho hivyo tuishi vizuri na kumtaja Mungu ni nyingi kweli kweli. Unaweza kudhani hawa watu ni watakatifu wa hali ya juu na wana busara. Subiri uone mitaani kulivyo na unyama na vitendo vya kikatili. Majuu watu haya mambo hakuna ila watu wana utu kuliko sisi.
Picha inaongeaHiyo picha ndio imenifikirisha
Kufa ni asiri yetu lakini tumeacha arama gani?uwe mwema, uwe katili utakufa tu
ishi uwezavyo