Kwani wewe umeajiriwa kuja JF kupinga pinga kila jambo linalofanywa na SIMBA, simba siyo Siasa ulizozoea kupingapinga. Hapa JF una Nyuzi kibaooooo zote Unapinga kila kinachoendelea ndani ya Simba, kama inakuuuma nenda Klabuni uongee nao siyo kila jambo kuwekwa mitandaoni. Huenda hata kadi ya Klabu hunaaa kazi ni kutunisha misuli tu.