Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Mlichonufaika nacho ninyi wakati huo.Utanufaika nini?
Walioiba wamenufaika na nini? Wezi watakuwa ndugu zako. Jamaa anatimiza wajibu kama RAIA mwema.Utanufaika nini?
Ha ha ha. Na kwa kweli watanzani tumekuwa hivyo kwa miaka mingi sana.Wanatuona sisi mazuzumagic
Wanajiringia uchawi wa mwengeHa ha ha.... Na kwa kweli watanzani tumekuwa hivyo kwa miaka mingi sana.
Mchuma janga hula na nduguze, kama hao ni ndugu zako kula nao majanga waliyo ya chuma. Haki kwa njia ya sheria iwawajibishe tu.Utanufaika nini?
Mpuuzi wewe ule ulikuwa uovu wa Chama au wa Magufuli na nyie wajinga na mafedhuli wenzake.Unaongea kama huna kichwa. Mkuu siasa za visasi hazijamuacha mtu salama. Sabaya alimuua nani mtaje? Mama samia hawezi kujitenga na uovu wa chama. Kama mnataka hivyo basi kila mtu apambane kivyake tuone nani atapona.
We ndo mpuuzi, pumbavu fanya yako usinifatilie mie nitakuharibia mambo yako.Mpuuzi wewe ule ulikuwa uovu wa Chama au wa Magufuli na nyie wajinga na mafedhuli wenzake.
Hali ya hewa ikoje hapo Chato?? Kuna mvua au jua??We ndo mpuuzi, pumbavu fanya yako usinifatilie mie nitakuharibia mambo yako.
Palikuwa na uoga mwingi miongoni mwa wananchi. Waliogopa hata kuwaeleza walio karibu nao.Huu ni wendawazimu. Ingekuwa hivi kule Magerezani kusingekuwa na wafungwa hata mmoja. Wote wangekuwa wameomba msamaha na wakasamehewa.
Wanasiasa wezi huwa wanaamini wao si Watanzania wa kawaida. Huamini wao ni watu special so wanahitaji special treatment. Huku ni kuwatusi Watanzania.
Kauli za kusema wasamehewe, Rais aanze upya si kauli za waliotendwa. Ni kauli za waliotenda Uovu. Na kila aliyeishi kwa upanga basi afe kwa Upanga.
Wananchi wameteseka sana na baadhi ya wahuni wa kisiasa. Hawa wamenyanyasa sana wananchi, wamewatesa, wameiba mali ya umma, wamejinufaisha wao binafsi. Kwa kutumia mwamvuli wa Chama au Serikali.
Mimi nasema wakutwe na kitu. Sabaya awe ni mmoja wao si mfano wao. Kila mmoja awajibishwe. Waliotendewa hayo waende kushtaki na si kulalamika tu kwenye mitaa. Waende kushtaki.