PROFESA KYANDO
Member
- Jul 24, 2012
- 81
- 6
Mzee huyo anadai kuwa alipewa ishara ya kuwa wana haki ya kupatiwa mafao.
wanatia huruma jamani......si walipwe tu manake ni haki yao!
Mwananchi Communications Ltd
Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) iliyovunjika mwaka 1977, Pascala Maziku akiomba dua, kwenye mkutano wa wastaafu hao uliofanyika jana jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akimwuliza Mungu kama kweli wana haki ya kulipwa mafao yao au la. Mzee huyo anadai kuwa alipewa ishara ya kuwa wana haki ya kupatiwa mafao. Picha na Zacharia Osanga
Yupo busy kumpigia simu diamond aende ikulu ampe deal lakipiga show USA kuwafurahisha watoto wao walioko huko
chaema inahusika vipi hapo?Naona una hasira sana na waliopo USA sema tukupe mwaliko uje vacation naona longolongo limekuwa jingi sana; kama unayo nauli na hujaaribu vidole niambie nikupe mwaliko wa nguvu hata watoto wa mafisadi Chadema wapo wengi tu huku.
Chama
Gongo la mboto DSM
chaema inahusika vipi hapo?
Kwani Diamond si alikuja USA? unataka niseme UK?Naona una hasira sana na waliopo USA sema tukupe mwaliko uje vacation naona longolongo limekuwa jingi sana; kama unayo nauli na hujaaribu vidole niambie nikupe mwaliko wa nguvu hata watoto wa mafisadi Chadema wapo wengi tu huku.
Chama
Gongo la mboto DSM
Kwani Diamond si alikuja USA? unataka niseme UK?