Kikwete: Uvumilivu sasa basi...

Ni kweli Mwanakijiji kwani jk ndo mwasisi wa udini. Utakizuiaje kitu ulichokiasisi?
this is silly; amejuaje zinatosha? walikuwa na kiwango walichotaka kufikia au kulikuwa na kiasi ambacho kilikuwa kinaweza kuvumilika na sasa kimepitilizwa?
 
Unaweza kukuta JK hata hajui kinachoendelea exactly... Utakuta hata huo mradi kaja kusikia alipoletewea asign... Watu wakamtia sumu... Nayeye mzee kuingia kichwa kichwa kaingia line.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…