GE2010 Kikwete ndani ya mtwara (update).....

samahanini wazee...ni rais wa botwsana.....
 
jamaa anazidi kutuweka....kampeleka airport rais wa botswana na sasa ndio saa 11.30 rais kikwete anaingia
 
Zimebaki dakika chache sana muda wa NEC uishe. Sina uhakika kama JK atamaliza kabla ya muda. Siziga tafadhali weka kumbukumbu za Mheshimiwa kusigina taratibu za Uchaguzi
 
Hamtaweka picha hata moja maana utaogopa kuwaangusha wapenzi wa CHADEMA.

SI UNAJUA PATAKUWA HAPATOSHI MTWARA KWA KUMSIKILIZA JK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…