Kubwa analoliogopa ni kuzomewa juzi kati hapa mama salma kapewa :A S 103: v na watoto wa Bunda kwa Wasira so mzee hataki kuona alama ya V ana arlegie nayo
Siku hizi anasafiri kwenda nje kimya kimya bila hata shamra shamra za kusindikizwa kwani naona anaona aibu; mzee mzima hatulii nyumbani kwao kila leo kigulu na njia!!
Kweli rev tunamkaribisha sana Arusha aje aongee na wana arusha maana ni muda sana toka kampeni mpaka leo hajaonekana wala kuja kutoa salam na alikuw ahakosi arusha kila wiki