Kuwa mpole jethro
Ama kweli simba akizidiwa hula majani....! Mdahalo huu kwa CCM na JK sio kama majani kwa simba? Kwani mmeshasahau kauli na msimamo wa CCM kuhusu mdahalo? Kuwa lazima makubaliano juu ya maswali ya kuuliza na watu wa kuuliza yawekwe mapema....! Mmesahau hata tabia yao ya uchakachuaji? Mimi naamini lazima mdahalo huo uchakachuliwe kwa kuwaandaa watu na maswali ya kuulizwa...! Bado pia nashangaa kuwa iweje leo wanataka kuwasikiliza wananchi wakati walisema wao wanajua wananchi wanahitaji nini? Vinginevyo, mimi nawashauri wana CCM wasidhubutu hata kuingia kwenye mdahalo huo maana watazidi kujimaliza...! Wasijilinganishe na Dr. Slaa na CHADEMA au Prof. Lipumba na CUF....!
Yaani waandishi wetu wanashindwa kuuliza maswali ya msingi,rushwa,ufisadi,wanauliza mambo ya barabara za dar,mambo ya kumuliza diwani,nimeuzunika sana.
Mkuu ukiipanua sana hoja hii utakuja kugundua kuwa hata shukle za sekondari za kata nazo zinaligawa taifa kwa misingi ya ukabila na mtu atokako kwa sababu mtu anaweza kusoma mpaka form four (na wanataka kuongeza mpaka form six) katika kijiji chake. Huyo hatawafahamu wananchi hata wa kijiji jirani.Eboo--ukishagawa nchi kwenye majimbo, that means they are divided kikabila (geographically). Swali ni kwamba, how can you maintain uTanzania katika mazingira haya? Ukiangalia sana katika resources allocation kutoka central government, and distribution of resources from the haves to the have nots.
Mpiganaji wenu hakufikiria suala la umoja na mshikamano katika majimbo. If you can figure that one out without having disgruntled majimbo--then go ahead.
Mmesikia hiyo? Magari ni maendeleo
Duuuuuh huyu jamaa ataenda mpaka kwenye Leo Tena na Part ile ya HEKAHEKA.:rip: CCM
chambua pumba na mchele ufanye uamuzi sahihi kwa kulinganisha mahojiano ya mheshimniwa raisi jk na power breakfast ya clouds fm na yale ya mahojiano ya mheshimniwa d. Wilbroad slaa na power breakfast ya clouds fm
mtanzania fanya uamuzi sasa kura yako ni muhimu.
mwache acheke bwana kwanini alie!
Mpiganaji alisema yeye akipewa nchi atagawanya katika majimbo, lakini alipingwa vibaya mno na akachomekewa kwamba anataka kuwagawa watanzania ki-kabila, ,
Wengi hamjui kuwa JK hacheki kwa hisia. Yeye anaugonjwa wa chekachekamania.
Kuna siku alikuwa akielezea jambo analodai lililomtia uchungu..akasema...''jamani watu wanaua albino ha ha ha...wengine wanabaka mpaka vikongwe ha ha ha ha..tehe tehe tehe jamani mimi naona uchungu sana watanzania he he he he..oh ho ho ho" yaani alicheka mpaka machozi yakamtoka sasa wewe unashangaa jamaa akicheka??
JK siku hizi akienda msibani, Ikulu kuna dawa wanampa ambayo inagandisha viungo vyake na uso wake unakuwa kama sanamu la 'Boutique' ili asionekane kucheka msibani...ndio maana anakuwa amenuna kuliko kawaida ya binadamu anapokuwa msibani.
Vinginevyo angeenda msibani na kuhutubia...''Jamani nasikitika sana kuondokewa na Waziri wangu huyu mchapakazi ha ha ha ha, oh hoho ho ho ho ho ho ...ha ha ha ha ha ha ha ha ha hah ...''
Wenu mtiifu.
Clouds haina waandishi ina maMC njaa(Kibonde) na maDJ wa kipaimara,kitchen parties(Hando)
agree sele... kikwete nact do any better... but knowing you... you can do better than him,Mnatupotosha tu humu ndani na subjective interpretation of the interview. Kwenye macho na masikio yenu JK can't do any better. Hamko open minded.
One more day. And all this hypocrisy will end!!
Eboo--ukishagawa nchi kwenye majimbo, that means they are divided kikabila (geographically). Swali ni kwamba, how can you maintain uTanzania katika mazingira haya? Ukiangalia sana katika resources allocation kutoka central government, and distribution of resources from the haves to the have nots.
Mpiganaji wenu hakufikiria suala la umoja na mshikamano katika majimbo. If you can figure that one out without having disgruntled majimbo--then go ahead.