Kikwete live ndani ya dodoma

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
31,967
Reaction score
19,178
Wadau... namuangalia JK live...

I hope atasema chochote decisive na sigficant kwa mustakabali wa taifa
 
unfortunately he doesnt look healthy
 
Dont hold your breath bro.He will end up disappointing you!
 
JK (kama alivyokuwa Mkapa) siyo kiongozi, ni mfanyakazi kama wewe na mimi tunaohangaika kujinufaisha binafsi na familia zetu. Tofauti yake na sisi ni kuwa yeye ana power anayoweza kutumia kujinufaisha zaidi kwa kutumia raslimali za nchi. Kwa hiyo usitegemee lolotev toka kwake kama kiongozi, bali jiandae kusikia kete anazotumia kufanikiwa katika malengo yake binafsi.
 
Kichuguu.. somehow uko very right; and my problem is vie for the post to serve people? si angeomba tu kazi za UN kama shida ni pesa?
 
Ukiona karudi Dodoma ujue anataka degree nyingine
 
Jk - sina la kusema kuhusu dowans
 
Kweli kasema hana la kusema kuhusu DOWANS??? you must be kidding mpwa
 
There are currently 22 users browsing this thread. (11 members and 11 guests)
Limbani mpenda pombe Elli chomete rmb Mpui Lyazumbi Cobra KURUNZI Mungi mtemiwao

ni nani huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…