Raisi Jakaya Kikwete ametajwa kuwa mmoja wa mashahidi mhimu sana katika kesi ya prof.Costa Mahalu anayekabiliwa na kesi ya uhjumu uchumi.
mahalu anamtaka kumtetea kwa kuwa wakati nyumba inunuliwa akiwa balozi wa Tanzania italia ambayo anaidiwa kufanya ufisadi katika ununuzi wake Jk alikuwa waziri wa mambo ya nchi za nje