Kashaijabutege JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 2,696 Reaction score 740 Feb 9, 2011 #1 Tanzanian President Kikwete and his wife take an HIV test as part of a new national testing campaign. (02 August 2007) Wana JF, Kuna anayejua majibu ya wapendwa hawa baada ya kupima na kutujulisha kwenye TV na kwa mbwembwe? Jamani kupima sio kazi, kazi kufuata majibu.
Tanzanian President Kikwete and his wife take an HIV test as part of a new national testing campaign. (02 August 2007) Wana JF, Kuna anayejua majibu ya wapendwa hawa baada ya kupima na kutujulisha kwenye TV na kwa mbwembwe? Jamani kupima sio kazi, kazi kufuata majibu.
Kashaijabutege JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 2,696 Reaction score 740 Feb 11, 2011 Thread starter #2 Jamani nijibuni, kama mnajua.
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Feb 11, 2011 #3 mkuu huo ni uhuru wake kusema majibu au kutokusema! mambo ya ndani unaingilia mkuu utauliza mpaka habari za kitandani sasa!
mkuu huo ni uhuru wake kusema majibu au kutokusema! mambo ya ndani unaingilia mkuu utauliza mpaka habari za kitandani sasa!