nia yao ni kugawana hela.kwani kumuelekeza mtu hadi umkalishe kitako siku nne?ofisini wamemuacha nani.watu wana majukumu tofauti semina moja.alifaa kila wizara wapewe kitabu cha kuwaelekeza kutokana na kazi zake.wizara ya kilimo,uvuvi,miundombinu,sayansi,nishati..nk,wote muongozo huo huo!.hao wana lao jambo.80% ya watz ni wakulima,bora wangepewa semina elekezi bw/bi shamba.
luhanjo utamuelekeza nini?