kabisa,lazima serikali iache kuwalegezea kamba hawa watu.yaani mtu anatamani kuwa rais hadi anaamua kuvuruga nchi ilimradi walioko madarakani waonekane hawafai,yaani yeye hiyo ndo anaona ni njia ya kujipatia kura nyingi hapo 2015.
Anatumia viongozi wa dini kutoa matamko kila siku kama kile kipindi cha kuelekea general election 2010.
Kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi nimemsikia rais JMT Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akisema "Kuna misikiti mitatu ili kaa itikafu ili mimi, kamanda wa polisi Sulemani Kova na Saidi Mwema ili tufe".
Nimemsikitikia sana JK na kumuonea huruma alipokuwa anatoa kauli hii. Kwa kauli ya JK na mambo mengine aliyo yaelezea kuhusu mizozo ya udini napigia mstari kuwa Tanzania ina tatizo kubwa linachemka kuliko wengi wetu tunavyo dhani, kilicho nisikitisha zaidi nikutokuonyesha njia ya kutatua matatizo hayo, nimemuona raisi kama vile naye ana lalamika kama wananchi na waumi wengine wanavyo lalamika.
Tuna safari ndefu yenye milima na mabonde mengi.
you are very coreect, jamaa ni mzushi tu hakuna fact yoyote aliyoitoa kimuondolea kasha ya udini. Wote tunaijua mikanda ya kutangaza mauaki ya kidini na imekiwa ikiuzwa tena hadbarani na hatukawahi lusikia aliteandaa mikanda hiyo, SHEIKH ILUNGA alikamatwa lwanini tusiamini kuwa huyu jamaa ni msanii tuu.Mkuu, mimi nimesoma hiyo hotuba yake sikuamini maneno hayo.
Nilijiuliza hivi waandishi wa habari hawakuona hayo maneno?Nilitarajia wangeyapa uzito.
mkuu Mponjor, ipo siku tutasikia hadithi inayopingana na hii,ndipo tutajua alikuwa anamaanisha ninini hadithi za kusadikika. Sijaona umuhimu wa jk kuongea haya.
Poor thread kama hizi zinaaibisha GREAT THINKERS.........natafuta point hapa sioni
Kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi nimemsikia rais JMT Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akisema "Kuna misikiti mitatu ili kaa itikafu ili mimi, kamanda wa polisi Sulemani Kova na Saidi Mwema ili tufe".
Nimemsikitikia sana JK na kumuonea huruma alipokuwa anatoa kauli hii. Kwa kauli ya JK na mambo mengine aliyo yaelezea kuhusu mizozo ya udini napigia mstari kuwa Tanzania ina tatizo kubwa linachemka kuliko wengi wetu tunavyo dhani, kilicho nisikitisha zaidi nikutokuonyesha njia ya kutatua matatizo hayo, nimemuona raisi kama vile naye ana lalamika kama wananchi na waumi wengine wanavyo lalamika.
Tuna safari ndefu yenye milima na mabonde mengi.
Mbona Kova hajawakamata kwa makosa ya ugaidi ya kupanga kumuua Mh Rais ,IGP na yeye mwenyewe?
Lakini to the contrary, mimi ningemuuliza swali moja jepesi kuhusu ukristo na upendo.
Kwanini Yesu alipoombwa chakula na yule mama mkananayo alimjibu hivi?
'Siwezi kuchukua chakula cha watoto na kuwapa mbwa' Kweli huo ndio upendo?
Ukipigwa upande wa kushoto geuza na kulia.
Haihitaji elimu yeyote kujua JK is not a doer na sana sana ni Raisi anayekwepa majukumu. Pale ambapo alipaswa kuact yeye anakimbia.
3. Anasema tujiulize nini kimetokea mpaka sasa tumefika hapa wakati tulikuwa tunaishi vizuri? Anakwepa majukumu. Nadhani angejiuliza, mbona toka nimeingia haya yamezidi? Kumbe, angepata jibu tayari
Yesu hakumnyima chakula mtu wewe, omba uelezwe utajulijwa. Yeye alitoa mfano sio kwamba aliombwa chakula halisi.
Kwani wewe mwenye upendo sana kwa waislamu na wasio waislamu, chakula cha wanao unawapa mbwa?