Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,922
- 107,387
Iliyonichekesha zaidi ni hiyo multi-billions.also meet with the Mayor Osby Davis of Vallejo.
​President Kikwete will go to New York with a number of activities
world nutrition conference before he attends to the Great Lakes members meeting.
Daniel Yohannes, whose institution sponsor
multi-billions projects in infrastructures,
Okay, moja, huwezi kusema multi-billions project, ni kichekesho kwa sababu neno multi tayari linawakilisha uwingi. Neno sahihi ni multi-billion.in short sijaona ubaya wa hii habari as far as grammar is concerned
BTW In2EastAfrica is a Kenyan media outlet....:nod: so tell those who always feel competent in Queen's language....yes, U heard :heh:Okay, moja, huwezi kusema multi-billions project, ni kichekesho kwa sababu neno multi tayari linawakilisha uwingi. Neno sahihi ni multi-billion.
Na huwezi kusema "he will meet with the Mayor Osby Davis." Chagua kati ya kusema "will meet the Mayor," au "will meet Mayor Osby Davis."
Na huwezi kusema "Kikwete will go to New York with a number of activities​." Hizo shughuli atakwenda nazo New York amezibeba kwenye sanduku?
Na huwezi kusema "he attends to the Great Lakes meeting." Isipokuwa sarufi sahihi ni kusema "before he attends the Great Lakes meeting."
Na pia huwezi kusema "whose institution sponsor." Neno sahihi ni sponsors.
Mi nimetoa hapa link ya hiyo habari ipo, sijaiandika mimi bali imetoka in2EastAfrica! in short sijaona ubaya wa hii habari as far as grammar is concerned
I know Mr Kiranga, where have u been anyway? longtime...Ukishasema "multi" tayari ushadenote plurality, kwa hiyo kwenye billion huweki s. Ukiweka s na kuandika "multi-billions" unaweza double pluralities, moja kwenye neno multi na nyingine kwenye s.
Wenye lugha wanasema "a multi-billion dollar deal" not " multi-billions dollar deal".
Kwa staili hii Naunga mkono kutegwa na wenzetu wa EA!!!
Kwa Ziara hizi sioni kwa nini wenzie wasimtenge!! Mwisho wa EAC umewadia...
Ukishasema "multi" tayari ushadenote plurality, kwa hiyo kwenye billion huweki s. Ukiweka s na kuandika "multi-billions" unaweza double pluralities, moja kwenye neno multi na nyingine kwenye s.
Wenye lugha wanasema "a multi-billion dollar deal" not " multi-billions dollar deal".