Aisee mbona taito na maelezo haviendani?!, au musiba wa mnajimu umekuchanganya?, kwa taalifa yako JK ni alhaj, alienda hija alipokuwa waziri wa mambo ya nje. Baada ya CRAP yako toa maelezo ili watu wachangie.

Hija ni hiari ya mtu kuna wangapi wenye uwezo ambao hawajaenda Hija? Pili "Title" imelenga swala la uwezo mambo ya Hija yametoka wapi tena? Tujadili uwezo wake wa kuongoza ndiyo italeta maana.
Hija ni hiari ya mtu kuna wangapi wenye uwezo ambao hawajaenda Hija? Pili "<i>Title" </i> imelenga swala la uwezo mambo ya Hija yametoka wapi tena? Tujadili uwezo wake wa kuongoza ndiyo italeta maana.