kikwete akwama mzozo wa madagascar

my web

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
1,592
Reaction score
243
marais wa kamati ya siasa ya sadc inayo ongoza na rais jakaya kikwete imeshindwa kutatua mzozo wa madagascar ulio nuia kuwashawish rais wa sasa andr lajorina na mark lavaromanana kutoshiriki uchaguz na kuitisha uchaguz mapema.chanzo dw.
 
Yeye anafikiri Madagascar ni zanzibar anapoweza kupanga nani awe rais nani asiwe? Zuma aliona ngoma nzito kajiondokea mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…