Kikwete acha vitisho dhidi ya Wananchi

Kikwete acha vitisho dhidi ya Wananchi

said chand

Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
19
Reaction score
2
Ndugu zangu wanaJf hiv nyie hotuba ya kikwete ya jana mmeielewa vipi? kikwete amepewa nchi ili atutishe kwa kutumia jeshi letu? n
kumbe ule msemo wa kiingereza like father like son hapa kwetu kwa sasa umeshika kas ! Nchi hii lazma ikombolewe na sisi wana wa nchi hii na hii hatajarisha tunatishwa kwa kiasi gan viongiz wanaijificha kwenye kivuli cha waasisi wa TANZANIA. ndugu mim naamin katika msemo wana theologia unaosema SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU!. Hakna kinacho washinda wale wanaodai haki kwa vile hata kama tukinyamazishwa kwa njia yoyote ile bado vinywa na fikra zetu zitazd kusema yaliyo haki. Bora Mch MTIKILA aliyesema leo tunasherehekea miaka hamsin ya UTUMWA..
Kwann kikwete ameamua kutumia jesh letu kututisha? anataka kutuaminisha kuwa jeshi letu linaunga mkono yale wanayoyafanya? wanaomshauri rais wamemshaauri vibaya na hii itakuwa ni fedheha siku Tanganyika huru itakapozaliwa ikiwa na wimbo wake,jeshi lake,rais wake tena mzalendo na katiba yake tena ya wananchi. TANGANYIKA NI NCHI YANGU NA DAIMA NITAITAFUTA HADI NIIPATE KWA KWA VILE HATA CHIEF MKWAWA NA WENGINE WENGI WALIITETEA KWA GHARAMA KUBWA SANA HATA KUPOTEZA MAISHA YAO. TANGANYIKA NCHI YANGU NAKUPENDA SANA. lazma tuwemajn na viongoz wa ccm vinginevyo tumekwisha. MIMI NI HAYO TU
 
Uko sawa mkuu, haya maneno ni mazito, watanganyika tuache uoga, hilo jeshi ni la wananchi siyo la CCM
 
Nilimsikiliza sana Jana anaongelea muungano kuvunjika kwenye hotuba yake kalibia yote nashangaa sisi tunataka serekari tatu yeye anaongelea muungano kuvunjika afu alivyo mnafki anamnukuu sana baba wa taifa eti tunamuenzi na kumweshimu najiuliza uyo baba wa taifa wanamweshimu na kumuenzi kwenye muungano tu mbona mambo mengine hawazungumzi kumwenzi kama ufisadi ubinafsishaji kugawa rasirimali zetu kwa wageni viongozi kujilimbikizia Mali nyingi na matumizi mabaya ya kodi za wananchi eti tunawaenzi wahasisi wetu duuuuuu wanatupoteza maboya na vijana wengi na akiri zao wanashangilia mule kwel akiri watanzania wengi hatuna
 
Yani kikwete ana bahati sana Jana nilichelewa kutoka chuo nilikuwa nimepanga nikamsikilize uku nimevaa tisheti yangu nyuma imeandikwa Tanganyika rudi.
 
Yani kikwete ana bahati sana Jana nilichelewa kutoka chuo nilikuwa nimepanga nikamsikilize uku nimevaa tisheti yangu nyuma imeandikwa Tanganyika rudi.

Angekuona nani kwenye tv yako?
 
'SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU'???
Siamini nakumbuka wengi hawakutaka multipartism lakin wachache wenye vision waliamua ikawa njema.
Wengi ktk nchi za Magharibi wanakubali uhuru wa Mashoga lakin naamini hiyo sio saut ya Mungu.
Wengi ktk arabic countries hawataki kusikia Christianity lkn mm naamini hiyo co saut ya Mungu.
 
Jana nilijisikia kichefuchefu sana kwa hotuba ya huyu rais.
Halafu inakuwaje anasema anahutubia taifa kupitia vijana wa ccm, very stupid, cant believe kama duniani kuna type ya rais kama huyu.
mtu asiye jiamini huwa na vitisho vingi sana. jeshi saivi ndo fimbo yake na point ya kujitetea. Hao wanajeshi wanalipwa kwa kodi za wananchi hao ambao hawataki maoni yao kwenye rasimu ya katiba waliyo yatoa. ccm ni lidudu tena tishio kwa maisha ya tanzania na tanganyika yetu inayotarajiwa kurudi
 
Back
Top Bottom