Usijali Zitto, cha msingi watu wenye akili zao timamu wameona mchango wako kama ulivyoutoa na umezingatiwa kama ulivyoshauri, whether tey acknowledge it or not, thats their problem. We have already noted it in our histrory. Ndo uzuri wa kuweka vitu kwenye maandishi, yaani hawawezi kukweepa kwamba ni idea yako hata kama watasema ni wafanyabiashara wa kihindi na kichina ndo wameomba. They are this bad, they are ready to praise outsiders (investors so they call them) than one of their own, what a shame!Ninajiquote nilichosema tarehe 15/10/2009
Ninapendekeza;
Mnisamehe kwa kujiquote!
- Serikali ihakikishe mitambo ya IPTL inawashwa mara moja wakati mazungumzo yake na IPTL yakiendelea kwa kuharakishwa (fast tracking). Hali ya nchi ni mbaya, ni sawa na vita, haiwezekani serikali yenye mamlaka ishindwe kuhakikisha IPTL inazalisha umeme wakati mazungumzo yakiendelea. Haiwezekani.Labda kama haina uchungu na maisha ya watu wake.
- Sikutaka kusema chochote nikiamini kwamba Shirika la TANESCO, Serikali, na kwa upande wa bunge, Kamati ya masuala ya Nishati na Madini, wangeweza kutoa majibu ya tatizo linatukabili. Badala yake, juhudi nyingi zimetumika kutafuta chanzo cha tatizo na kuchelea kutoa suluhuInaumiza sana kuona kuwa tunaendekeza siasa rahisi tunaposhugulikia masuala mazito ya kitaifa kama Nishati. Inasikitisha zaidi pale tunapoona kuwa serikali inashindwa kuchukua hatua mahususi za kuhami uchumi wa Taifa letu. Serikali na Bunge hazitoi suluhisho la hali hii na ni wazi kuna kutupiana mpira wakati nchi inaumia. Serikali imewekwa madarakani ili ifanye maamuzi na tuihukumu kwa maamuzi hayo. Serikali ni lazima sasa iamue.
- Mazingira magumu kama haya yanahitaji maamuzi magumu (extra ordinary circumstances require extra ordinary decisions). Ninaamini serikali itazingatia ushauri wangu.
Ikulu inasema wafanyabiashara ndio wamemwomba Rais. Ni sawa tu........
Mkuu Mkandara kula tano. Hii kwa vyovyote vile ilipangwa na sasa imefika wakati wa kutekeleza. Sijui kama Zitto na yeye alifahamu hili na akaja kuwawahi kwa kusema iwashwe mitambo. Alijuaje kuwa iko tayari? Au kwa sababu wenzetu wako chunguni? Basi kumbe hatufahamu mengi na hapa kwa kweli tunacheza wanavyoimba WANASIASA.
Watanzania lazima tukubali kuwa sera ya kukosolewa imo ndani ya chama cha Mapinduzi. Kwa kumbukumbu zangu Mwl alisema kitu kama hicho ndani ya sera za chama cha mapinduzi na mara zote nafikiri chama cha mapinduzi kimekuwa kikifuata sera hii. Lazima tukubali Rais wetu amefuata sera hii. Zitto ni Mtanzania na ushauri wake pamoja na watu wengine ambao walipendekeza kuwa mitambo iwashwe imetekelezwa kwani CCM ni chama kinachokubali kukosolewa. Na ndivyo Mwenyekiti wa chama amefanya. Hakuna kosa hapo Watanzania.kuna kitu mwanakijiji kadokeza in one if the threads sijui ndo hivi vinaanza kitokea.... Lets wait. Huenda mapendekezo yote ya Zitto yakatekelezwa lakini wakatwambia kiujanja ujanja ni initiative zao. Ama kwelu serekali yetu.
What?. Sasa mbona kipindi chote watu wanaumia na mgao wa umeme wao walikuwa wanavuta miguu tu, kweli bongo tambarare!.
Huu ushauri wa kutumia IPTL ndio unasifiwa kiasi hiki?
Ama kweli miafrika ndivyo tulivyo. Yaani tatizo la umeme limekuwa linatabiriwa kwa mwaka mzima sasa na Kikwete hakufanya chochote ila leo ndio anaamka na kuanza kutoa amri kuwa IPTL iwashwe?
Alikuwa wapi siku zote? Zitto alikuwa wapi muda wote?
Watanzania lazima tukubali kuwa sera ya kukosolewa imo ndani ya chama cha Mapinduzi. Kwa kumbukumbu zangu Mwl alisema kitu kama hicho ndani ya sera za chama cha mapinduzi na mara zote nafikiri chama cha mapinduzi kimekuwa kikifuata sera hii. Lazima tukubali Rais wetu amefuata sera hii. Zitto ni Mtanzania na ushauri wake pamoja na watu wengine ambao walipendekeza kuwa mitambo iwashwe imetekelezwa kwani CCM ni chama kinachokubali kukosolewa. Na ndivyo Mwenyekiti wa chama amefanya. Hakuna kosa hapo Watanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Jakaya M. Kikwetwe ameamuru mitambo ya kuzalisha umeme ya IPTL iwashwe mara moja, mitambo hiyo ina uwezo wa kuzalisha umeme wa 80MW -100MW huku akiitaka wizara ya Sheria na katiba kufuatilia maswala yote ya kisheria juu ya Serikali na IPTL.
MJ
hili si moja ya pendekezo la Zitto la juzi? Walikuwa wapi mda wote huo? Eti mpaka raisi afanye where is ze minister?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Jakaya M. Kikwetwe ameamuru mitambo ya kuzalisha umeme ya IPTL iwashwe mara moja, mitambo hiyo ina uwezo wa kuzalisha umeme wa 80MW -100MW huku akiitaka wizara ya Sheria na katiba kufuatilia maswala yote ya kisheria juu ya Serikali na IPTL.
MJ
Hongera sana Mh. Rais kwa kutimiza wajibu wako.
Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda, na akupe afya njema, uendelee kutuongoza.
Ngeleja must go!
Bila JK kusema hakuna kinachofanyika Tanzania..!!
ZITTO aliongea wakasema ni mambo ambayo hayapelekwi tu kijuujuu, WAFANYABIASHARA!!!! wameongea tu na JK amereact. SO IT MATTERS NI NANI KASEMA!!! Tutafika???JK alikuwa anamsubiri Ngeleja, lakini amegundua kuwa jamaa ni bomu la wakati.