Akiwa huko Rungwe, Mbeya JK ameahidi vyandarua (2 treteted nets) kwa kila familia. Sasa vyandarua vinanunuliwa na Millenium Challenge Account (MCA) halafu yeye anadai ipo kwenye ilani ya CCM 2015. Mimi nafikiri JK anatuona sisi mabwege.
Ahadi zingekuwa ni amri sijui ingekuwaje maana tokea nimeanza kusikia anatoa ahadi mpaka sasa zimefika kama 30 hivi sasa sijui huwa anakaa na kutafakari ahadi alizozitoa au ndio huwa hakumbuki chochote kile akimaliza kutoa ahadi mwendo mdundo
YES ,Kweli kikwete kasema hayoo lakini usishangae sana kwamba meli zitapita wapi,no kwa ajili ya ziwa nyasa,huku ziko meli bwana hata kabla ya ahadi hii.. umeelewa?
Ahadi zingekuwa ni amri sijui ingekuwaje maana tokea nimeanza kusikia anatoa ahadi mpaka sasa zimefika kama 30 hivi sasa sijui huwa anakaa na kutafakari ahadi alizozitoa au ndio huwa hakumbuki chochote kile akimaliza kutoa ahadi mwendo mdundo
Jamaa yeye hajali. Kutoa ahadi ni issue moja na kuzitimiza ni issue nyingine. Ameshasoma mchezo kuwa ukitoa ahadi baada ya miaka 5 watu wanakuwa wamesahau uliwaahidi nini kwa hiyo ukienda baada ya miaka 5 unawatwanga na ahadi nyingine. Hi ndiyo TZ bwana, full usanii. Itabidi tuwe na register ya ahadi zake ili tuwahukumu CCM baada ya miaka 5 (ingawa jamaa atakuwa hagombei):confused2:
Sikutendewa haki, na ndiyo maana nasema wote walioshiriki kunipiga pale makao makuu ni wahuni tu, na hilo ndilo linalonishangaza kwa chama kikubwa kama Chadema kufuga wahuni pale makao makuu."