Kikuyus, Kalenjins to be barred from presidency for 30 years in proposed Bill

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Members from the Kikuyu and Kalenjin communities may not be able to contest the presidency for up to 30 years if a new Bill is passed by parliament.

A draft bill put forward by ODM MP Zuleikha Juma aims at making the presidency a rotational position.

The nominated MP has proposed extensive changes to the constitution that could potentially lock out communities that have already served in the top office for up to 30 years.

"The principle objective of this Bill is to amend Articles 137 and 142 of the [constitution] to provide rotational presidency to allow ethnic communities equal accessibility of top leadership and for regional balance," the Bill read in part.

But for the changes to take effect, the country must be subjected to a referendum. It is unlikely such a Bill will pass through Jubilee dominated parliament.

The Bill appears to be specifically aimed at the presidency, as other major elective posts including the Deputy President, Governor and MP seats, are not affected.

"A Kikuyu can be deputy president for all those years. It doesn't matter," Juma told a press conference on Thursday.

Therefore, an ethnic community, like the Kikuyu that is currently in power, can only seek the Presidency after 30 years.

"You cannot serve for more than one term. Once your five-year term ends, you pave way for another community to occupy State House," the ODM MP said.

According to Juma, the country has been grappling with ethnicity and political marginalisation, which has continued to worsen after every general election.

The Bill will also affect county governments, and so it must go through the Senate.

Should Parliament nod to the Bill, it will have far-reaching implications on the current political composition in the country.

Kenya's four presidents, Jomo Kenyatta, Daniel arap Moi, Mwai Kibaki and Uhuru Kenyatta, have come from the two tribes.


the-star.co.ke
 
Inche no mogusii koru nyamira, gesima omwoyo

I really don't care..... geza wejua chako!!!


But am team Raila for life but this bill won't go anywhere!!
 
Hii hoja na 'bill' yenyewe itakuwa imeletwa bungeni na mtu mwenye akili finyu sana.Afu eti ni mbunge,eti anaitwa 'mheshimiwa' huyo!Hawa ndo watu wanayoirudisha Kenya na Afrika yote kwa jumla kwenye karne ya 19,labda.

Sasa mimi kama mkikuyu nimefaidi nini kutoka kwa marais wakikuyu walotawala Kenya?

Wala sijawahi kuwa na tumaini au haja ya hao marais kunisaidia mimi!Watu wengi wana fikra za kuwa rais wa kabila lao akitawala watafaidi moja kwa moja na si kupitia sera zao.

Kwani mipango yao ni kupora rasimali za nchi yetu hilo likitokea?Kule kwetu Mukurwe-ini,kwa bibi yaani,na si nilikozaliwa na kukulia,ukitaja jina la Jomo Kenyatta hata kupigwa utapigwa bure tu!

Alidhulumu na kuwaua babu zangu walopigania uhuru wa nchi na damu yao wakaimaga kwaajili ya Kenya!Eti na Jomo Kenyatta alikuwa mkikuyu mwenzao.

Mwai Wa Kibaki naye serikali yake ikawaua kikatili vijana wengi wakikuyu kwa kisingizio cha wao kuwa Mungiki.

Uhuru Kenyatta naye anatawala na Ukikuyuni hakuna kilichobadilika!

Yote wanayofanya wakikuyu ni kujiendeleza kwa bidii zao binafsi bila kungoja kubebwa na yeyote!

Tunachotaka kama wakenya ni rais anayehakikisha hali ya amani na utulivu inadumishwa nchini,sisi wenyewe tutajitegemea na kujitaftia!
 
Total nonsense and i believe people will vote against it if it so happens
It's truly total nonsense, the MP has been engraved with tribalism, his notion will be considered when Jesus Christ comes back to earth(mwisho wa dunia). ODM wameshindwa kusimamia uchaguzi kwenye chama chao, kutawala Kenya itakuwa ni ngumu na ni ndoto.
 
Hii hoja na 'bill' yenyewe itakuwa imeletwa bungeni na mtu mwenye akili finyu sana.Afu eti ni mbunge,eti anaitwa 'mheshimiwa' huyo!Hawa ndo watu wanayoirudisha Kenya na Afrika yote kwa jumla kwenye karne ya 19,labda.Sasa mimi kama mkikuyu nimefaidi nini kutoka kwa marais wakikuyu walotawala Kenya?Wala sijawahi kuwa na tumaini au haja ya hao marais kunisaidia mimi!Watu wengi wana fikra za kuwa rais wa kabila lao akitawala watafaidi moja kwa moja na si kupitia sera zao.Kwani mipango yao ni kupora rasimali za nchi yetu hilo likitokea?Kule kwetu Mukurwe-ini,kwa bibi yaani,na si nilikozaliwa na kukulia,ukitaja jina la Jomo Kenyatta hata kupigwa utapigwa bure tu!Alidhulumu na kuwaua babu zangu walopigania uhuru wa nchi na damu yao wakaimaga kwaajili ya Kenya!Eti na Jomo Kenyatta alikuwa mkikuyu mwenzao.Mwai Wa Kibaki naye serikali yake ikawaua kikatili vijana wengi wakikuyu kwa kisingizio cha wao kuwa Mungiki.Uhuru Kenyatta naye anatawala na Ukikuyuni hakuna kilichobadilika!Yote wanayofanya wakikuyu ni kujiendeleza kwa bidii zao binafsi bila kungoja kubebwa na yeyote!Tunachotaka kama wakenya ni rais anayehakikisha hali ya amani na utulivu inadumishwa nchini,sisi wenyewe tutajitegemea na kujitaftia!
Wewe Mkikuyu class B.
High class unawajua!! Elites wa GEMA
 
Huyu Mwanamama vipi? Kwani Rais wa Kenya anateuliwa ama anachaguliwa na wananchi?

Iweje upitishe sheria kutengua kabila la wakikuyu na wakalenjin kushika dola, ikiwa wamechaguliwa na wananchi je?
 
Eeh' npamanyete...gesima is also my grandma's place on my dads side!!! .. Ngekuuliza we ni wa nani lakini tuko JF staki kuona warogi waTZ gesima...... Small world mkuu!!!
Wewe Mughaka Watanzania tutakuwemo tu. Tunaijua Kisii kuanzia Nyaribari Chache hadi Mugirango mpaka kwa jirani zenu Homa Bay.

Mbuya muno
 
Wewe Mkikuyu class B.
High class unawajua!! Elites wa GEMA
Umeshindwa kujadili hoja nini?'High class' wapo kila mahali haijalishi rangi kabila au ulikotoka bora umejijenga kimaisha kupitia jasho lako,GEMA ndo nini?Si sote wakenya!
 
Umeshindwa kujadili hoja nini?'High class' wapo kila mahali haijalishi rangi kabila au ulikotoka bora umejijenga kimaisha kupitia jasho lako,GEMA ndo nini?Si sote wakenya!
Ulisema wewe Mkikuyu lakini mnamchukia Kenyata Sr, Mimi nakwambia ninyi ni wale Kikiyu low class. Wale elites/high class Kikuyu kwanza Kenya baadaye.
 
Let me confess, sumtimes i feel ashamed of being a kenyan.
It has so many retarded politicians!
I'm a luo, but i strongly repudiate this idea.

Kenya shld be led by pipo with good talents, not on the basis of their ethnicity.
 
Back
Top Bottom