Tatizo ni mbunge ambaye hajui nini maana ya kuwa mbunge, lema hakujua kuwa mbunge ni cheo muhimu hivyo unatakiwa kuwa na kauli nzuri na maneno yenye hekima,si kuropoka na kusababisha hasara kama hii,km asingeropoka wapi ccm wangempatia nafasi ya kumuangusha?

Hakika ukitaka kujua nguvu na hasira za mlevi, wewe mwaga POMBE YAKE,ccm inatamani, na inataka kujua hasira na nguvu za wana Arusha na watanzania kwa ujumla wake. Marudio ya uchaguzi huu, yataifanya ccm ifahamu hasira za watz kwa sasa zikoje. Hata robo ya kura walizozipata 2010 hawatazipa tena. Wametufilisi tangu zamani na wanaendelea kufanya hivyo.