Voltaire
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 1,850
- 1,946
Wadau,naamini wengi mshaskia mwanamke akivaa kikuku,either cha gold au shanga mguuni,anakuwa anatuma message,kwamba anafunguliwa buti!..kiaina naanza kuiamini hii,koz kuna manz nlipata kuwa nae kipindi cha nyuma kidogo,tukaanzisha hizo story,yeye aka ngangania kwamba huwa anavaa kwa urembo tu,oukay..nkasema haina kwere...ngoja nianzishe uchokozi...mara moja,mbili,tatu...mtoto si akaingia line aliwe jicho,anadai ndo itakuwa mara yake ya kwanza!sikushangaa sana koz nlimwambia kama sifa ya kikuku ni mbaya kwanini anaendelea kukivaa?..sasa nnaona kama ndo ivo koz issue imejirudia.....hivyo itaniwa vigumu sana kuamin kwamba ni urembo wakati wote wavivaao mwisho wa siku hukubali kutoa jicho.