christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,486
- 3,877
Uingireza kwa sasa wanakizazi cha dhahabu tatizo hawana kocha.
Wanatolewa kwenye makundiHuwa wanajitapa sana, lakini at the end wanaishia robo fainali.
Kuna jiwe la France huko, Benzema ndani ya nyumba, usithubutu kukutwa na Bwana Pepsi.
Namba ya bisaka ina competition kubwa sana. Afu bisaka mzr defending, attacking so mzr sana compared na wenzake walioitwa.Bisaka???