Ni kweli Emmanuel Gabriel "batistuta" alilkua mchezaji mzuri lakini unapokua umepewa option mbili mkononi za namba 9 na 10 na huku una watu kama machupa, madaraka selemani, Musa mgosi, Malota Soma, Edward Chumila, Damian Kimti, Boban,Juma Amir maftah, inakua ngumu sana kumweka Gabriel.