View 270, Replies 0......lugha ya malkia hii! Bi Mkubwa katimiza umri mkubwa miaka 109, siri ya kuishi umri huo ni KUWA MBALI NA WANAUME, wanaume ndio chanzo kikubwa cha magonjwa kama pressure ya kushuka, vidonda vya tumbo, msongo wa mawazo, nk hapo sijasema magonjwa zinaa utakayoletewa.... Hii sio tafsiri na maelezo yangu binafsi kuhusu mada.