Baada ya kifo cha Ruge, Jide alijua kuwa atazungumziwa sana kwenye media akaja na ka sligan kake cha I DON’T CARE lakini naona imekuwa kinyume amna mtu yeyote aliyemzungzia zaidi ya wana JF kufufua makaburi ya nyuzi zake. Alitarajia baadhi ya watu wamsihi ahudhurie msiba lakini imekuwa kimya.