Hakika Ukiangalia haya yana onesha Wazanzibari wamechoka kabisa..watu wapo Taabani..wameichoka CCM ...Na Kumbe Masheikh walipotolewa Zanzibar ni ombi la Masheikh kwa serikali ya Umoja wa Kitaifa.....wakatolewa na Tanganyika ikawachukua wao kuwasingizia na kuwatesa..hakika hili ni jambo moja litawagawa watanzania vipande vipande...na ccm wanacheza na dini na imani ..haya yatavunja muungano ....
WENYE MACHO HAWAAMBIWI ANGALIA..NA KIZIWI HAAMBIWI SIKILIZA .....CCM BADILIKENI
Sheikh Saleh akijibu maombi na shutuma za masheikh wa pemba alisema yeye hana nguvu ya kuwasemea masheikh walotiwa ndani Tanganyika. Nguvu gani sijui ila Jana ali kutana nao walo waweka ndani huko huko huko Tanganyika...angesubutu kumwambia Nchemba wafungeni au watoeni mnavo fanya sio haki kabisa kabisa hakuna justification hata kidogo...lakini masikini shekhe wetu huyu ..ulwa mbaya nao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.