Kikaangoni: Mnyeti na Makonda

Waraka wa maaskofu katoliki ulibainisha kuwa awamu hii roho ya Kaini imeingia kazini na askofu kakobe alimtaka mkuu wa anga hili la tanzania atubu. Kaini hakutubu ila ni imani yangu huyu alietakiwa kutubu kwa sasa atatubu
 
Wamechaguliwa kwa umakini mkubwa ukiwaonya unakuwa umemuonya naniliu...unaweza jikuta unaeonya unatumbuliwa hihihiii... kaa chonjmuonyaji. Mi mwenyewe nataka pinga lkn nahofu na eneo langu ubungo lisijegeuka dampo la wilaya
 
Zito kabwe alishasema Nchi inaongozwa na washamba
 
LHRC hawajawahi kuwa watetezi wa maskini wao ni watetezi wa mafiisadi walioko serikalini na sekta binafsi.Makonda songa mbele usiogope chochote mafisadi ni minority
Mbona pesa za kuwanunua wabunge, madiwani, Wapinzani kurudia uchaguzi kwa gharama kubwa hawazikatai? Udalali wa siasa wa wapambe wake Akina Le mutuz, Jerry muro na wenzao kula pesa za walipa kodi kwa kazi haramu hamkatai? Kujenga chato Airport kijijini, kununua ndege kwa bei kubwa ili Wajanja wale 10% mbona hamkatai? Zipo wapi ndege za Bombadia?
 
Watetezi wa wadhulumu ardhi kazini hawatashinda waluoddhulumiwa ni majority mabaraza ya ardhi ni minority wenye pesa wanaoidhulumu maskini kwa kujificha kwenye majoho ya kusheria
Edit andiko lako lisomeke na kueleweka vema basi! Umeandika kilevi mno!
 
Huyu katibu naye haeleweki! Matamko ya makonda yamo kwenye audio na video. Ni kwanini anaiamini barua ya kukanusha alichokitangaza badala ya audi na video zinazomwonyesha kama kweli wapo serious kusimamia maadili ya waliochini yao?
Katibu kama kweli una maana ya kuwawajibisha hawa watu watatu yaani makonda, gambo na mnyeti basi wekeni hadaa pembeni ili mtimize wajibu wenu kwa utaratibu uliopo! Kinyume chake ni anguko la kutosha kwa ccm huko mbeleni! Wawajibishwe tu!
 
LHRC hawajawahi kuwa watetezi wa maskini wao ni watetezi wa mafiisadi walioko serikalini na sekta binafsi.Makonda songa mbele usiogope chochote mafisadi ni minority
Sasa sijui hao mafisadi chanzo chake ni nani?
 
Majitu ambayo yalikimbia shule huweza kutamka chochote tu ili mradi mdomo upo.
 
Ni nani anayeweza kuwagusa hawa wahuni wawili! !?
inchi inaongozwa na genge la wahuni
 
"Mhe. Mwenyekiti nusu Karne ya uongo iishe" ..... Hon. Tundu Lissu wakati akimjib H. Kigwangala baada ya kutoa taarifa kwenye kikao cha Bunge la katiba April 2014

Natumia nukuu hii kusema mkuu UONGO UISHE
 
Kuandaa muongozo ina maana walichofanya Makonda na Mnyeti ni makosa na hakikubaliki.
Ila inabidi ifanywe namna litolewe tamko la kuua soo
 
Mwalimu enzi zake alikuwa hawezi kufanya kazi na watu wa sampuli hizi..
Utawala wa Mwalimu ndiyo chanzo cha mambo ya figisu unazozishuhudia leo hii katika taasisi mbalimbali.
 
KN Musa Iyombe utasemaje mmemalizana na hao watu wakati kauli zao hawajazifuta hadharani kama walivyozitamka. Watu bado wana mkanganyiko kwa kauli zao. Barua naufafanuzi waliofanya kwako hakuondoi umuhimu wa kulitolea ufafanuzi suala hili na kuzuia viongozi kutoa matamko ya kisiasa yanayovunja sheria, kanuni na taratibu zilizopo.
 
Hawa Ma rC kutokana na elimu zao inabidi watumie nguvu sana ili ku survive
 
Reactions: BAK
Wahuni hao wawili ni wa kuwafukuza kazi si kuwapa eti mwongozo!!! Mbona Nape hakupewa mwongozo!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…