wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,590 Reaction score 29,493 Mar 24, 2020 #1 Hivi kuna mahusiano gani ya hiki kijiti kuwekwa begani kinaenda kufunga kizazi mimba isitungwe. Naombeni kufundishwa na Madoctor mlioko humu.
Hivi kuna mahusiano gani ya hiki kijiti kuwekwa begani kinaenda kufunga kizazi mimba isitungwe. Naombeni kufundishwa na Madoctor mlioko humu.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,425 Mar 24, 2020 #2 Dawa inazunguka kwenye damu mheshimiwa, kile kijiti kina hormones ambazo zinazuia mimba. Zinaachiwa kidogo kidogo zitembee kwenye damu.
Dawa inazunguka kwenye damu mheshimiwa, kile kijiti kina hormones ambazo zinazuia mimba. Zinaachiwa kidogo kidogo zitembee kwenye damu.
M makubia Member Joined Mar 3, 2020 Posts 19 Reaction score 11 Mar 25, 2020 #3 Ngoja nisubiri somo hapa
NgahiJS New Member Joined Nov 21, 2019 Posts 1 Reaction score 1 Mar 26, 2020 #4 Nakazia [emoji375] Sky Eclat said: Dawa inazunguka kwenye damu mheshimiwa, kile kijiti kina hormones ambazo zinazuia mimba. Zinaachiwa kidogo kidogo zitembee kwenye damu. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia [emoji375] Sky Eclat said: Dawa inazunguka kwenye damu mheshimiwa, kile kijiti kina hormones ambazo zinazuia mimba. Zinaachiwa kidogo kidogo zitembee kwenye damu. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Msweet JF-Expert Member Joined Mar 26, 2014 Posts 3,241 Reaction score 4,446 Mar 26, 2020 #5 Sky Eclat said: Dawa inazunguka kwenye damu mheshimiwa, kile kijiti kina hormones ambazo zinazuia mimba. Zinaachiwa kidogo kidogo zitembee kwenye damu. Click to expand... Niliona google wanaelezea natural contraceptive method kwa kutumia chai ya tangawizi. Je hii ina madhara yoyote?
Sky Eclat said: Dawa inazunguka kwenye damu mheshimiwa, kile kijiti kina hormones ambazo zinazuia mimba. Zinaachiwa kidogo kidogo zitembee kwenye damu. Click to expand... Niliona google wanaelezea natural contraceptive method kwa kutumia chai ya tangawizi. Je hii ina madhara yoyote?
Hanitoni JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,148 Reaction score 990 Mar 26, 2020 #6 Asante kwa ufafanuzi hata mm nilikuwa sielew kbsa Sky Eclat said: Dawa inazunguka kwenye damu mheshimiwa, kile kijiti kina hormones ambazo zinazuia mimba. Zinaachiwa kidogo kidogo zitembee kwenye damu. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ufafanuzi hata mm nilikuwa sielew kbsa Sky Eclat said: Dawa inazunguka kwenye damu mheshimiwa, kile kijiti kina hormones ambazo zinazuia mimba. Zinaachiwa kidogo kidogo zitembee kwenye damu. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Rajab_Omar JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 16,480 Reaction score 27,185 Mar 26, 2020 #7 Msweet said: Niliona google wanaelezea natural contraceptive method kwa kutumia chai ya tangawizi. Je hii ina madhara yoyote ? Click to expand... Please kama hujawa tayari kuzaa usijetumia hiyo chai ya tangawizi ikisha ukanyanduliwa utakuja kulia hapa JF. Hapana ukweli kwenye hilo
Msweet said: Niliona google wanaelezea natural contraceptive method kwa kutumia chai ya tangawizi. Je hii ina madhara yoyote ? Click to expand... Please kama hujawa tayari kuzaa usijetumia hiyo chai ya tangawizi ikisha ukanyanduliwa utakuja kulia hapa JF. Hapana ukweli kwenye hilo
Msweet JF-Expert Member Joined Mar 26, 2014 Posts 3,241 Reaction score 4,446 Mar 26, 2020 #8 Uongo wake uko wapi?? Ulijaribu ikafeli?? King Ngwaba said: Please kama hujawa tayari kuzaa usijetumia hiyo chai ya tangawizi ikisha ukanyanduliwa utakuja kulia hapa JF. Hapana ukweli kwenye hilo Click to expand...
Uongo wake uko wapi?? Ulijaribu ikafeli?? King Ngwaba said: Please kama hujawa tayari kuzaa usijetumia hiyo chai ya tangawizi ikisha ukanyanduliwa utakuja kulia hapa JF. Hapana ukweli kwenye hilo Click to expand...
Rajab_Omar JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 16,480 Reaction score 27,185 Mar 27, 2020 #9 Msweet said: Uongo wake uko wapi?? Ulijaribu ikafeli?? Click to expand... Chai ya Tangawizi ndiyo Chai maarufu inayotumiwa na Wazanzibari. Sasa kawaulize wanavyozaa
Msweet said: Uongo wake uko wapi?? Ulijaribu ikafeli?? Click to expand... Chai ya Tangawizi ndiyo Chai maarufu inayotumiwa na Wazanzibari. Sasa kawaulize wanavyozaa
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,658 Mar 27, 2020 #10 wa stendi said: Hivi kuna mahusiano gani ya hiki kijiti kuwekwa begani kinaenda kufunga kizazi mimba isitungwe. Naombeni kufundishwa na Madoctor mlioko humu. Click to expand... Weka tu mkuu kijiti au kigogo kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
wa stendi said: Hivi kuna mahusiano gani ya hiki kijiti kuwekwa begani kinaenda kufunga kizazi mimba isitungwe. Naombeni kufundishwa na Madoctor mlioko humu. Click to expand... Weka tu mkuu kijiti au kigogo kabisa Sent using Jamii Forums mobile app