Kijiji kizima wavuta bangi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijiji kizima wavuta bangi

Discussion in 'JF Doctor' started by KAKA A TAIFA, May 27, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  NIPENI UFAFANUZI.KILA SIKU TUNASIKIA POLISI WAMEKAMATA BANGI EKARI 2,3 AU 4,NA WAMEITEKETEZA KWA KUICHOMA MBELE YA VIONGOZI NA WANAKIJIJI.SWALI KATIKA HUO UTEKELEZAJI WA UTEKETEZAJI JE HUO MOSHI WA HIYO BANGI HAUWAFIKII WANANCHI(WATOTO,WAMAMA,WABABA,WAZEE,VIKONGWE,WAGONJWA).NIONAVYO MIMI WANAKIJIJI WOTE WANAKUWA WAMEVUTISHWA BANGI BILA RIDHAA YAO.NINI KIFANYIKE KATIKA HILI?:mvutaji::majani7:
   
 2. r

  rubby Senior Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jiulize mwenyewe
   
 3. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  tehetehe kuna ukweli inategemea masafa ya huo moshi na hao walioko karibu, ila wataalamu watufafanulie.
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kuna usemi kuwa pafu moja la bangi linaathiri ubongo miaka saba, sasa hapo sijui..
   
Loading...