hongera kwa wazo lako.. ila biashara ya maji sio rahisi kabisa..
kwanza maeneo yenye maji mazuri ardhini unakuta kila nyumba ya mwenye uwezo inajichimbia kisima na kuuza maji.. so ushindani mkubwa..
na eneo lenye maji ya chumvi ndio kuna faida ila lazima ufunge mtambo wa kuchuja chumvi ukitaka kufanya serious business